Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,418
- 8,354
Yupo sawa boss, eleza kwanini hiyo gesi ya Mtwara hupikii nyumbani kwako wakati ipo nchini mwetu kwa wingi.Kwa akili yako hiyo mitungi ya gas ya oryx na taifa gas ni gesi ya mtwara!..vitu hamvijui lakini midomo na vidole juu Kama wachambaji kubwabwaja