Tanzania yajizatiti kuanza mradi wa Nyuklia kwa Matumizi ya Maendeleo

Kupanga jinsi ya kupanga jinsi ya kupanga jinsi ya kupanga MIPANGO; na Upangaji huo hata kama hauwezi kufanyika wala hawana mpango wa kuufanya unaweza ukakuta umechukua pesa zaidi ya kama mpango wenyewe ungefanyika...., Ile Mipango ya kurusha Satellite yetu na ya kuleta basi za umeme na ku-suuply LPG Europe kutokana na vita vya Ukraine imeishia wapi ? Better question ufuatiliaji wa Mipango hii imetumia kiasi gani cha Kodi zetu ?
 
Satellite inarushwa mwezi disemba mwaka huu
 
Hakuna tatizo hapo, maisha mengine lazima yaendelee....nishati ni muhimu mno kwa ustawi wa hii nchi
Unajua hatari ya Nuclear Power generation; Unajua ugumu wa ku-dispose mabaki ? Au unadhani kwanini Japan pamoja na kuwa na uhaba wa Nishati waliamua kupunguza matumizi ya Nuclear

Kwa nchi kama Tanzania yenye vyanzo lukuki na safe zaidi kwanini twende kwenye risk endeavors ukizingatia sisi na uzembe ni pete na kidole....; Kwa ufupi kwenda huko ni Disaster waiting to happen...

On 11 March 2011, a nuclear accident occurred at the Fukushima Daiichi Nuclear Power Plant in Ōkuma, Fukushima, Japan. The proximate cause of the disaster was the Tōhoku earthquake and tsunami, which remains the most powerful earthquake ever recorded in Japan. The earthquake triggered a powerful tsunami, with 13- to 14-meter-high waves damaging the nuclear power plant's emergency diesel generators, leading to a loss of electric power. The result was the most severe nuclear accident since the Chernobyl disaster in 1986, classified as level seven on the International Nuclear Event Scale (INES) after initially being classified as level five,[13][14] and thus joining Chernobyl as the only other accident to receive such classification.[15] While the 1957 explosion at the Mayak facility was the second worst by radioactivity released,[clarification needed] the INES ranks incidents by impact on population, so Chernobyl (335,000 people evacuated) and Fukushima (154,000 evacuated) rank higher than the 10,000 evacuated from the Mayak site in the rural southern Urals.
 
Kuna tofauti ya cng na LNG
Kwamba Natural Gas ikiwa Piped haiwezi kupika ? Si ndio hio inatoka Russia na kupikia kwenye nyumba za Watu all over Europe ?

Sisemi kwamba tufanye kwa Bongo hizo infrastructure ni costly and there are more cheaper ways (apart from LPG) lakini swali lake bado lina mashiko; Kwanini Mtwara wanashindwa kupikia hio gas asilia (ingeweza ikawa Piped) ingawa mimi nasema maliza bwawa la Nyerere shusha umeme watu wapikie Umeme waachana na habari za Gesi
 
Tanzania inajidhatiti na kujipanga kufanya uendelezaji wa mradi wa Nyuklia Kwa Matumizi ya Maendelea kama nishati, hospital na utafiti

--
Tanzania plans to invest in nuclear energy using uranium reserves in Namtumbo (Mkuju) and other regions. Minister for Minerals announced the strategy at a panel on ‘Nuclear Technologies for the Development of the African Region' in Russia. What do you think about this?

-
In a momentous revelation at the Second Russia-Africa Summit, Tanzania, the East African nation renowned for its diverse wildlife and breathtaking landscapes, has emerged with an ambitious and previously undisclosed nuclear plan that could potentially shape the continent's future.

With the goal of bolstering economic growth, improving the quality of life for its citizens living below the poverty line, and securing its position as a prominent player in the global nuclear energy sector, Tanzania's intentions have captured the attention of the international community.

The announcement came forth from Tanzania's Minister for Minerals, Doto Biteko, during the 'Cooperation in Science and Technology' panel discussion titled 'Nuclear Technologies for the Development of the African Region.' The disclosure caught many by surprise, as the nation had been quietly laying the groundwork for its nuclear aspirations.

Central to Tanzania's plan is the development of its abundant uranium reserves, identified in various regions of the country, including Namtumbo (Mkuju), Bahi, Galapo, Minjingu, Mbulu, Simanjiro, Lake Natron, Manyoni, Songea, Tunduru, Madaba, and Nachingwea.

The successful adoption of nuclear technologies from other countries could expedite uranium exploration, leading to unprecedented growth in the nation's nuclear energy sector.

The news has ignited enthusiasm among Tanzanians and has also garnered the attention of global experts and leaders present at the summit.

Notably, Alexey Likhachev, Director General of Russia's State Atomic Energy Corporation Rosatom, expressed his confidence in Africa's potential for power generation capacity in the coming decades. According to him, Africa's rapid population growth and increasing energy demands have made the continent a focal point for nuclear energy development.

The implications of Tanzania's nuclear plan extend beyond the country's borders. Experts anticipate that this revelation will set a precedent for other African nations to explore nuclear energy as a sustainable and reliable solution for their energy needs.

The African continent, home to more than one billion people, is predicted to account for one-third of the world's population by 2050, and addressing its energy challenges is pivotal for achieving sustainable development.

Princess Mthombeni, Founder of Africa4Nuclear and a Nuclear Communication and Technology specialist in South Africa, highlighted the importance of embracing Russia's proposals to ensure Africa's sustainable development and the well-being of its youth.

The successful implementation of Tanzania's secret nuclear strategy could signify a paradigm shift in Africa's energy landscape, propelling the continent towards a brighter and more sustainable future.

Note: The summit concluded on a positive note, with African countries displaying interest in collaborating with Russia and adopting nuclear technologies to address their energy needs.

Source: Tanzania's secret nuclear plan unveiled at global summit

Hadithi njoo, uongo njoo utamu kolea.
 
Suala ni infrastructure,nani atagharamia!?..tusubiri LNG ya Lindi àmbayo wazungu wamekubali kutia hela,na itachukua 5-7 years kuanza kutumia,waneshasema bwawa la Nyerere haimaanishi umeme utashuka Bei,walianza kutandaza mabomba kwa ajili ya gesi ili itumike majumbani nchi nzima,si kazi ndogo
 
Suala ni infrastructure,nani atagharamia!?..
Sio gharama tu kwa uzembe wetu hata maintanance ya hayo mabomba na lots of leakages ni uharibifu wa mazingira wakati we have better options; badala ya kupeleka hio gesi kwenye kila nyumba ya mtu peleka ikazalishe umeme ili umeme huo uupeleke kwenye kila nyumba (conversion of energy)
tusubiri LNG ya Lindi àmbayo wazungu wamekubali kutia hela,na itachukua 5-7 years kuanza kutumia,
LNG hio inafanya kazi kwa kuwapelekea watu wenye shida na uhaba wa alternatives ya nishati ni bei mbaya / kubwa na inahitaji energy kubwa kubadilisha gesi hii kuwa liquid kwahio wanachofanya ni kuibadilisha kuwa kimiminika at lowest temperature na kuitunza at that lowest temperature meli zinachukua hio gesi na kuipeleka mpaka kwenye destination (Japan; Europe au popote pale) ili iweze kutumika kwa soko la ndani ni upuuzi kufanya hivyo (yaani kutumia nishati ili upate nishati wakati ungeweza kutumia nishati hio direct)
waneshasema bwawa la Nyerere haimaanishi umeme utashuka Bei,walianza kutandaza mabomba kwa ajili ya gesi ili itumike majumbani nchi nzima,si kazi ndogo
Wanachosema ni maamuzi yao sio kweli kwamba ndio uhalisia; wana mipango yao ya kuendelea kulamba asali...

Logical non sequitur, nishati kuwa muhimu haina maana ujiingize kwenye miradi ambayo huna uwezo nayo.

Wewe nchi imeshindwa kusaini mkataba wa bandari tu, leo mnataka kutuua na nyuklia hapa?
Blah blah tu zao

Hakuna jipya huko

Ova
 
Tanzania inajidhatiti na kujipanga kufanya uendelezaji wa mradi wa Nyuklia Kwa Matumizi ya Maendelea kama nishati, hospital na utafiti

--
Tanzania plans to invest in nuclear energy using uranium reserves in Namtumbo (Mkuju) and other regions. Minister for Minerals announced the strategy at a panel on ‘Nuclear Technologies for the Development of the African Region' in Russia. What do you think about this?

-
In a momentous revelation at the Second Russia-Africa Summit, Tanzania, the East African nation renowned for its diverse wildlife and breathtaking landscapes, has emerged with an ambitious and previously undisclosed nuclear plan that could potentially shape the continent's future.

With the goal of bolstering economic growth, improving the quality of life for its citizens living below the poverty line, and securing its position as a prominent player in the global nuclear energy sector, Tanzania's intentions have captured the attention of the international community.

The announcement came forth from Tanzania's Minister for Minerals, Doto Biteko, during the 'Cooperation in Science and Technology' panel discussion titled 'Nuclear Technologies for the Development of the African Region.' The disclosure caught many by surprise, as the nation had been quietly laying the groundwork for its nuclear aspirations.

Central to Tanzania's plan is the development of its abundant uranium reserves, identified in various regions of the country, including Namtumbo (Mkuju), Bahi, Galapo, Minjingu, Mbulu, Simanjiro, Lake Natron, Manyoni, Songea, Tunduru, Madaba, and Nachingwea.

The successful adoption of nuclear technologies from other countries could expedite uranium exploration, leading to unprecedented growth in the nation's nuclear energy sector.

The news has ignited enthusiasm among Tanzanians and has also garnered the attention of global experts and leaders present at the summit.

Notably, Alexey Likhachev, Director General of Russia's State Atomic Energy Corporation Rosatom, expressed his confidence in Africa's potential for power generation capacity in the coming decades. According to him, Africa's rapid population growth and increasing energy demands have made the continent a focal point for nuclear energy development.

The implications of Tanzania's nuclear plan extend beyond the country's borders. Experts anticipate that this revelation will set a precedent for other African nations to explore nuclear energy as a sustainable and reliable solution for their energy needs.

The African continent, home to more than one billion people, is predicted to account for one-third of the world's population by 2050, and addressing its energy challenges is pivotal for achieving sustainable development.

Princess Mthombeni, Founder of Africa4Nuclear and a Nuclear Communication and Technology specialist in South Africa, highlighted the importance of embracing Russia's proposals to ensure Africa's sustainable development and the well-being of its youth.

The successful implementation of Tanzania's secret nuclear strategy could signify a paradigm shift in Africa's energy landscape, propelling the continent towards a brighter and more sustainable future.

Note: The summit concluded on a positive note, with African countries displaying interest in collaborating with Russia and adopting nuclear technologies to address their energy needs.

Source: Tanzania's secret nuclear plan unveiled at global summit
Labda nyuki lia yani nyuki wanalia....kwa akili ya ccm wamebakiza kuuza mizuti yao tu
 
Pumbavuuuuuuu.. in kigosis voice
 
Back
Top Bottom