Tanzania yaingia mkataba na DRC kujenga bandari kavu

Tanzania yaingia mkataba na DRC kujenga bandari kavu

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,578
Reaction score
28,698
1743936656535.jpg


Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(DRC) wameingia mkataba wa kujenga bandari za nchi kavu katika nchi zote mbili.

Taarifa kutoka Tanzania zinasema DRC ndiye mtumiaji mkubwa wa Bandari ya Dar kuliko nchi zote majirani

Pia kumekuwa na ongezeko la mizigo inayokwenda Kongo inayopitia Bandari ya Dar kwa 180% ndani ya miaka minne, ambapo mizigo imeongezeka kutoka tani milioni 14 kwa mwaka mpaka tani milioni 28 kwa mwaka.

Kwa upande wa Tanzania, maeneo yaliyotengwa kwa ujenzi huo ni Kwala mkoani Pwani pamoja na Katosho mkoani Kigoma

Kwa upande wa Kongo maeneo yaliyotengwa ni Kasulambesa, Kasenga na Kalemie.

Ujenzi wa miradi hii utakamilika ndani ya miezi 18

Source: The Citizen
 

Attachments

  • 1743936656535.jpg
    1743936656535.jpg
    171.6 KB · Views: 19
Back
Top Bottom