Tanzania yaendelea kuwa baba wa demokrasia katika ukanda wa "East and Central Africa"

Status
Not open for further replies.
MY TAKE: Ukiacha GDP ya makaratasi ni kitu gani tena Kenya imeizidi Tanzania?
Tony254
Don YF
The best 007
Geza Ulole
@
Weka list ya income of all sectors ya your economy nikuonyeshe GDP ya kwenye makaratasi na propaganda inafanana vipi., weka na total annual revenue collection ya taifa yenu fukara, then come we discuss as we do a forensic comparison analysis of all sectors, utaihama uzi ba mzee.
 
Wacha uone goal posts zikichange
 
Weka list ya income of all sectors ya your economy nikuonyeshe GDP ya kwenye makaratasi na propaganda inafanana vipi., weka na total annual revenue collection ya taifa yenu fukara, then come we discuss as we do a forensic comparison analysis of all sectors, utaihama uzi ba mzee.
Tumalize hili la demokrasia kwanza, Kisha ndio tuingie katika GDP, kwanza lazima muache kelele zunu za kijinga kwamba Kenya Kuna demokrasia kuzidi Tanzanis6
Tony254
 
Tanzania Baba wa demokrasia East and Central Africa🤡🤡🤡
 
MATAGA wakishawishi uma vile Tanzania imekuwa Baba wa demokrasia East and Central Africa😁😁😁
 
Freeman Mbowe bado yupo jela?
Yote hayo lakini bado tumewazidi katika demokrasia, huko kwenu hali ni mbaya zaidi, Miguna Miguna pamoja na Mahakama kuamua arudishiwe passport yake na kurudishwa nyumbani bila masharti yoyote lakini serikali yenu ya kidikteta imakataa, hovyo Sana ninyi.
 
You are still a hybrid democracy kama Kenya na Uganda tu. Hakuna tofauti. Honesty I still prefer Kenya, bongo hata freedom of speech ni shida na mahakama yenu haina nguvu compared na yetu. Kenya you have a chance of kujitetea na mahakama itakusikia na ikupatie bond or cash bail.
 
Hahahaha, wacha kujiliwaza Tanzania is a champion of democracies in Africa, wacha kusikiliza maneno ya mitaani, wataalamu wameangalia vigezo vyote na kuona kwamba Tanzania is far ahead of Kenya in Democracy.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom