Umeongea point mkuu.suala ni kutafuta ndege iliyopotea kwani lazima iwe imetumbukia baharini?, lazima iwe imezama? si hata fukweni inaweza kupatikana na majahazi na mitumbwi ikatumika???? nimefikiria nje ya box
malaysia ndio nchi inayotumiwa sana na tanzania kwasababu kule ten% wanatoa kabla ya deal....lazima tusaidiane kutafuta dege hilo... Engene za ndege hazikuwekewa gprs ambazo marekani zinapatikana kwa dollar 50 tu dah 10% ni noma sana....