Mafwi Munda
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 1,749
- 1,605
Darisalama vinajengwa wapi?!Kila mkoa
Darisalama vinajengwa wapi?!Kila mkoa
Ilala BomaDarisalama vinajengwa wapi?!
Hahaha udiwani dili, wanahongwa pesa ya kujenga viwanda?! Kwanini nami nisiwe diwani wa DP?!Tusumbuke kupoteza pesa wakati vyerehani 4 vinatosha.
Pesa tunahonga madiwani na wabunge wa upinzani waunge mkono juhudi za kuhonga kwa Mh Mtukufu
Hahaha hivyo vya maji ya kandoro mbona vilikuwepo?!Ilala Boma
Vimeongezeja! Pia ukiingia pale mitumbani kuna vyerehani vingi sana kwa ajili ya kufanya maboresho ya nguo za mitumba!Hahaha hivyo vya maji ya kandoro mbona vilikuwepo?!
Tanzania ya Viwanda sio ndoto ya siku 2. Hata hivyo jitihadi zinazoendelea zinaonesha tutafikanaaam mlituahidi nyingi ahadi . nakumbuka kadhaa kubwa ni ile ya mikopo kwa wanafunzi wa vyuo. mlisema kwanza ni mkopo kwanini watu wasipewe?
mlisema mngetoa 50ml kwa kila kijiji mmetoa? kwann?
wapi ilipo mahakama ya mafisadi? nani kapelekwa mpaka leo?
Ipo wapi Tanzania ya viwanda? vimejengwa vingapi? vinazalisha bidhaa gani wapi na zinauzwa wapi?
naaam mlituahidi nyingi ahadi . nakumbuka kadhaa kubwa ni ile ya mikopo kwa wanafunzi wa vyuo. mlisema kwanza ni mkopo kwanini watu wasipewe?
mlisema mngetoa 50ml kwa kila kijiji mmetoa? kwann?
wapi ilipo mahakama ya mafisadi? nani kapelekwa mpaka leo?
Ipo wapi Tanzania ya viwanda? vimejengwa vingapi? vinazalisha bidhaa gani wapi na zinauzwa wapi?