BAF
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 421
- 511
Miaka mingi iliyopita wasomi mbalimbali ambao wamesoma nje na ndani ya Tanzania walikuwa wameajiriwa katika viwanda vyetu hasa viwanda vya Mkoa wa Morogoro na tunaamini kabisa hata sasa idadi ya viwanda vikiongezeka wasomi wetu ambao mmemalizia vyuo vya ndani ya nchi yetu mtapata ajira za kutosha kwa hiyo,msikate Tamaaa Siku zinakuja na ndipo mtashangilia na kufurahi pamoja na serikali yetu.
Yes Tanzania ya Viwanda!
Yes Tanzania ya Viwanda!