TANZANIA YA VIWANDA:NSSF,PPF washirikiana kutekeleza ujenzi wa kiwanda cha sukari morogoro.

Hawa wameshaandaa mashamba ya miwa,maana kiwanda kikubwa kinahitaji raw material ya kutosha,yaani miwa,

au wataagiza miwa toka china nini?

Mkuu.kwani waliojenga viwanda Kilombero na Kagera wakianza ni kitu gani kwanza! Viwanda au ulimaji wa miwa au vyote kwa mpigo?

Kwa Kilombero nadhani miwa inachukua mwaka mmoja+ kuvunwa na Kagera mika miwili.

Ninacho tahadhalisha Serikali yetu tusije tukambiwa jamaa Manji kaingia ubia na Mifuko ya hifadhi ya jamii kujenga viwanda au yeye ndiye ametafuta wajenzi wa kiwanda au kapewa tenda ya ujenzi wa kiwanda na ununuzi wa mashine - tuwe wangarifu na hela ya mafao ya wafanya kazi.

Kilicho nishitua mimi kwa nini wanataka kujenga kiwanda Mkulanzi ambapo Manji aliwahi kusena ana mpango wa kujenga kiwanda hapo hapo is it a coincident kweli?

Kitu gani kimewazuhia mashirika ya mifuko ya jamii kujenge sehemu nyingine ya Morogoro inayojulikana kwa jina la Luipa sehemu hiyo iliwahi kufanyiwa tafiti za kutosha kuhusu ulimaji wa miwa kwa wingi na ujenzi wa Sugar processing plant kwa nini wanakwepa sehemu hiyo na kukimbilia Mkulanzi?
 
Back
Top Bottom