Kama ulivyojitambulisha mwenyewe elimu yako ni ndogo, na ndio maana hata maswali unayojiuliza, kama ungekua na elimu/au angalau uelewa kidogo tu, usingeuliza maswali. Yaani huelewi kwa mfano sement ya dangote he haina soko? je imewekezwa na serikali? Ni dizaini ya wachawi wa nchi hii wasiopenda maendeleo. Kama vile TV Fulani hivi, kipindi cha jumamosi asubuhi:- wako, raisi azibitiwe, raisi ashauriwe, raisi, dictator, raisi akosolewe. Kipi kibaya alichokifufanya,hawakisemi. Halafu hata ukiwatazama macho yao yalivyo utaona tu kua hawa watu ni hatari kwa mustakhabali wa maendeleo ya nchi yetu.