Mhh umenitishaNatamani hii post yako aione Mhe. Rais. Kwa kifupi Rais wa sasa ame-overate mapungufu ya JK. JK aliweka setup nzuri ya kukuza viwanda na kuchochea uwekezaji na kuufanya uchumi uendeshwe na sekta binafsi, ila alishindwa kwenye kufanya udhibiti tu pamoja na kujitahidi kuunda taasisi nyingi za udhibiti (zikianzia enzi ya Mkapa). Taasisi hizi zilishindwa kusimamiwa na hivyo zimekuwa corrupted, unprofessinalism na hazikuwa bunifu (innovative). Hapa ndipo JP alipotakiwa apasimamie, na for sure angeipeleka nchi pazuri sana. Lakini alipoingiza hizi sera za ubahili, na ku-frustarate watumishi wa umma, wafanyabiashara, kila mwenye hela fisadi au mpiga dili naona kila kitu kitafeli kwa sasa. Vilevile ilibidi aimarishe pia ushirikiano na mataifa makubwa badala ya hawa akina Morocco, Sri Lanka, Vietnam, India. Leo hii mtumishi wa umma anashindwa hata kununua kuku kila Ijumaa. Ukiuliza, unaambiwa hawa wametewa kwa miaka 55, mimi mtetezi wa maskini. Hivi mtumishi wa umma anayepata mshahara wa milioni 2 ana utajiri gani? Kwa hali hii ya kuwafanya watu wawe mashetani ni dhahiri sera ya viwanda imekufa kifo kibaya kuliko kilimo kwanza au BRN. Labda viwanda vya chumvi.
Tutaanza na viwanda vya matofaliBinafsi ninapousikia huu usemi napatwa na kigugumizi ,kwa elimu yangu ndogo hii ya uchumi katika dunia ya utandawazi nina maswali mengi kushinda majibu kwa mfano
1.Viwanda vinavyotajwa kwenye makaratasi na mikutano mbalimbali ikitokea vikazalisha bidhaa tutauza wapi? (Market ya products at global level) Je tuta charge tarrifs na quotas kubwa bidhaa za ulaya na Mashariki ya mbali ili zetu ziuzike?
2.Swali la pili sambamba na swali lililopita ,hatuna technology, wala Reseach and deveopment centres ambazo ni nyumba ya innovations na technological capabilities so we depend totally on imported technology and machines. Tutawezaje kupambana katika soko na watu ambao wametuuzia technology? (assume machines tunazo however the fact hatuna) huu sio mpambano wa Tembo na sungura?
3.Swali la tatu historia inaonyesha nchi zote zilizoendelea kiviwanda waliwekeza kwenye rasilimali watu (human capital) tena kwa muda mrefu tu ,itawezekana vipi hii paper policy itekelezelezwe ndani ya miaka mi 5?
4.kwa wanaojua maana hasa ya Globalization is an attemp to make African countries to be primary producers wa raw materials hii ni moja ya objectives zao major political global powers hili halina ubishi utandawazi ni ubepari !hivyo basi kutangaza viwanda kwa nchi za ulaya na East Asia ni kutangaza vita ya masilahi tumejiandaa vipi kukabiliana na hili?tulijifunza kweli kwenye sera ya ISI pilicy ambayo tuli adopt soon after independence ikafa tukajaribu Export promotion industrialization ikafa kibudu ikafuata ujamaa policy then import liberalization na sasa SIDP?
5.Ushirikishwaji wa nchi za kiafrica zingine katika kuunda efficient regional integration and cooperation kwa kuwa na common markets ,free trade areas na ku charge ushuru mkubwa bidhaa za nje ya ukanda ili viwanda vya nyumbani (infantry industry) vikue kama wanavyo propose "Prof viners pure theory of international trade " na kuongeza bargaining power as a regional bloc ukoje na tumehamasishaje?
Au Tanzania as a single countrypeke yake
itazuia soko lake kuuzwa bidhaa kutoka nje ya nchi kama ilivyotokea mwaka 1667 nchi za ulaya walipozuia marekani wasiingie bidhaa za chuma Europe?
6.Aliyetunga sera ya viwanda kupitia chama cha mapinduzi alizitambua changamoto hizo juu?Je kwakutumia tu utashi wa kawaida wa kujua kusoma na kuandika hii sera inatekelezeka ndani ya miaka mitano?????
7.Tukiangalia kwa undani safari ya sera ya technolojia na viwanda na Africa kiujumla zinafana fanana ila moja ya sababu ya kufeli hii sera at first place Tanzania ni kushindwa ku repair machine. kwakua in Africa hamna technological transfer na patent rights za technolojia ni kubwa mno kiasi kwamba wataalamu wengi wana link acquisation ya technolojia na heavy debt burden (mikopo mikubwa) na bado wana control technolojia zao hata baada ya kukukodishia inatia umasikini bara la Africa vipi baba Magufuli umejiandaa nalo vipi hili?
Mbaya zaidi hizi imported technology hatuwezi ku adapt katika mazingira yetu (indegeneous technology )
8.Swali lingine je watunga sera ya viwanda wanajua kuwa maendeleo ya Africa yanaendeshwa na sera za nchi za magharibi?unajua kwanini huu ni muongo wa sita tangua Africa ianze kupata uhuru imeshindwa kuwa na self reliant development (self sustained) licha ya kuwa ni kinara wa resources?
Maswali ni mengi mno,sera ya viwanda kwa sasa hivi ni ya chama hii maana yake nini ikitokea chama kingine kikachukua madaraka upo uwezekano wakaifutilia mbali muda huo lazima tutambue hamna Taifa limekua kiuchumi bila maendeleo ya sayansi ,Techolojia na viwanda katika share yake kwenye GDP,BOP, kutengeneza ajira,kuongeza kipato na kuboresha maisha ya raia wake katika level mbalimbali za kijamii .
Hii hoja inaibua mjadala pia, Je sera ya nchi ikoje katika kukuza maendeleo ya sayansi na Technolijia?Je ilifeli ndo maana ikaanzishwa political party initiation ya viwanda?Huku sio kuanzisha administrative bureaucracy?Yaani tumeanzisha kitu ambacho kilishakuwepo lakini hakukuwa na utekelezaji maana yake tulishafeli?
Wasalam
Wewe ukiambiwa viwanda unaelewa nini? Au unajitoa ufahamu!?Yaani mnatumia nguvu nyingi na muda Mwingi kujadili vitu ambavyo haviwezekani kufanyika Tanzania hata kwa miaka 70 ijayo...
Unaongeleaje habari za Viwanda wakati watoto wetu wanakaa chini madarasani,,,???
Hospitali hazina dawa,,,??
Viwanda vitakavyoanzishwa na wazawa sio heavy industries, ni kama vya sukari, chumvi, juice, mafuta ya kula n.k ambavyo mipango yake ni kupandisha tariffs kwa imports huku watanzania wakiambiwa wajiongeze kumiliki market share kwa kupewa hiyo competitive advantage
hivyo heavy industries ni wawekezaji wanavutiwa kama akina Dangote n.k
so Tanzania ya viwanda sio viwanda vikubwa tunavyodhani
Mkuu Allen Kilewella labda niweke senti moja kwa uchache. Kwanza, mleta mada kaleta mada nzuri tu inayotugusa kama Taifa na wananchi. Haya ndiyo mambo ya kujadili ingawa yanavurugwa makusudi
Mag3 alileta uzi 'kelele' zinavyotumika kuua hoja za msingi
Nikirudi kwenye mada, mletaji kasema nchi za viwanda ziliwekeza katika human capital
Hoja hii inaeleza kwanini ''viwanda'' tulivyokuwa navyo vichache vilikufa.
Hakuna postmortem wala utafiti wa kisayansi unaojibu hoja hiyo.
Ndipo tunakwenda katika hoja ya mleta mada nyingine
Research and Development: Hii inaeleza kwanini tunahitaji viwanda na kwasababu zipi, katika soko gani na tutawezaje kukabaliana na ushindani.
Pia inaeleza gharama za uzalishaji na jinsi ya kukabiliana na bidhaaza bei rahisi
Tatu, kuna suala la nishati.
Je tutaweza kuwa na nishati ya uhakika na nafuu itakayokidhi gharama za uendeshaji?
Kumbuka nishati ni factor kubwa katika kuamua gharama na uzalishaji
Ikiwa hatujaweza kusambaza gesi, kwa miaka 4 tutawezeshaje viwanda?
Nne, katika region integrations na globalization tutalindaje viwanda tarajiwa?
Kama tutafanya protectionism,tutaweza kumlinda consumer asiwe victim?
Hayo ni kwa uchache,yote yapo katika mwamvuli wa jambo muhimu tusilotaka kuliongelea ambalo ni Dira ya Taifa.
Dira na sera ni vitu viwili tofauti. Hapa tunaongelea vision na policy, na kwamba sera lazima zi reflect dira irrespective ya nani au chama gani kinakuwa madarakani
Wanatuambia wameandika sera ya viwanda ni kwa kutumia dira gani?
Tulikuwa na elimu kwa wote, ikaja kilimo kwanza na kuua sera ya elimu.
Ghafla kama walivyosema wachangiaji wengine BRN na sasa sera za viwanda.
Policy hizi zina reflect dira gani ya Taifa?
Pengine kushindwa kwa viwanda kutatokana na mambo mengi, kubwa ni siasa.
Tatizo letu ni kutokaa pamoja kama Taifa na kupanga kisha kuchagua tunataka nini.
Hatuna hamasa ya kujifunza kutokana na makosa yetu (retrospective) na tunaendesha mambo kisiasa kuliko utaalamu.
Tungerafuta kwanza, kwanini Tanganyika packers, Mutex, Mwatex, Mgololo, Kilimanjaro match box, Tanalec, General tyre, Moshi machine, Mangula Machine, Moro polyester, Morproco n.k. n.k. vilikufa tukipata jibu tuanzie hapo
Je, hatuna pamba ya kutosha, hatuna wavaaji wa kutosha, hatuna magari ya kutosha, hatuhitaji vipuri n.k.
Jibu rahisi ni ndiyo kama ni hivyo tulifeli wapi na je sababu za kufeli tumezibaini na kuziondoa?
Natamani hii post yako aione Mhe. Rais. Kwa kifupi Rais wa sasa ame-overate mapungufu ya JK. JK aliweka setup nzuri ya kukuza viwanda na kuchochea uwekezaji na kuufanya uchumi uendeshwe na sekta binafsi, ila alishindwa kwenye kufanya udhibiti tu pamoja na kujitahidi kuunda taasisi nyingi za udhibiti
(zikianzia enzi ya Mkapa). Taasisi hizi zilishindwa kusimamiwa na hivyo zimekuwa corrupted, unprofessinalism na hazikuwa bunifu (innovative). Hapa ndipo JP alipotakiwa apasimamie, na for sure angeipeleka nchi pazuri sana. Lakini alipoingiza hizi sera za ubahili, na ku-frustarate watumishi wa umma, wafanyabiashara, kila mwenye hela fisadi au mpiga dili naona kila kitu kitafeli kwa sasa. Vilevile ilibidi aimarishe pia ushirikiano na mataifa makubwa badala ya hawa akina Morocco, Sri Lanka, Vietnam, India. Leo hii mtumishi wa umma anashindwa hata kununua kuku kila Ijumaa. Ukiuliza, unaambiwa hawa wametewa kwa miaka 55, mimi mtetezi wa maskini. Hivi mtumishi wa umma anayepata mshahara wa milioni 2 ana utajiri gani? Kwa hali hii ya kuwafanya watu wawe mashetani ni dhahiri sera ya viwanda imekufa kifo kibaya kuliko kilimo kwanza au BRN. Labda viwanda vya chumvi.
Natamani hii post yako aione Mhe. Rais. Kwa kifupi Rais wa sasa ame-overate mapungufu ya JK. JK aliweka setup nzuri ya kukuza viwanda na kuchochea uwekezaji na kuufanya uchumi uendeshwe na sekta binafsi, ila alishindwa kwenye kufanya udhibiti tu pamoja na kujitahidi kuunda taasisi nyingi za udhibiti (zikianzia enzi ya Mkapa). Taasisi hizi zilishindwa kusimamiwa na hivyo zimekuwa corrupted, unprofessinalism na hazikuwa bunifu (innovative). Hapa ndipo JP alipotakiwa apasimamie, na for sure angeipeleka nchi pazuri sana. Lakini alipoingiza hizi sera za ubahili, na ku-frustarate watumishi wa umma, wafanyabiashara, kila mwenye hela fisadi au mpiga dili naona kila kitu kitafeli kwa sasa. Vilevile ilibidi aimarishe pia ushirikiano na mataifa makubwa badala ya hawa akina Morocco, Sri Lanka, Vietnam, India. Leo hii mtumishi wa umma anashindwa hata kununua kuku kila Ijumaa. Ukiuliza, unaambiwa hawa wametewa kwa miaka 55, mimi mtetezi wa maskini. Hivi mtumishi wa umma anayepata mshahara wa milioni 2 ana utajiri gani? Kwa hali hii ya kuwafanya watu wawe mashetani ni dhahiri sera ya viwanda imekufa kifo kibaya kuliko kilimo kwanza au BRN. Labda viwanda vya chumvi.
Katika mazingira haya ya nchi za Kiafrika nchi kama Tanzania ikiwa serious itahitaji miaka si chini ya 50 kuwa na uchumi wa viwanda.
Tunaposikia kuwa Tanzania ya Magufuli itakuwa ya viwanda tunaogopa na kuingia chini ya uvungu sababu Tanzania ya Magufuli sana sana itakuwa ya miaka 10 sasa huo uchumi wa viwanda unawezekanaje ndani ya muda mfupi kiasi hicho?
Hakuna uwekezaji au mapinduzi kwenye maeneo muhimu kama elimu, nishati wala utafiti, itawezekanaje?
Tungeweza hata kuanzisha utaratibu wa kuvutia watu wenye ujuzi kutoka nchi zingine wahamie Tanzania kwa mfumo wa green card na hapo tungewalenga kutoka mataifa kama Syria ambako wataalamu wake wanatangatanga huku na kule sababu ya vita. Tungewatoa hata Libya pia lakini serikali zetu hizi zina akili fupi sana hasa ukizingatia zinaweka mbele maslahi ya chama kuliko nchi.
Tanzania ina potential kubwa mno, tembea mikoani utaona lakini hakuna thinking.
Kingine kinachoharibu mambo ni huu utaratibu wa kuendesha kila kitu kutoka serikali kuu. Kwa nini kila anayekuja kuwekeza aende TIC Dar es Salaam wakati lengo lake ni kujikita Katavi? Kwa nini mikoa isiachwe huru kujiwekea mipango yake ya uwekezaji na kujitafutia wawekezaji duniani kama inavyopenda? Hii italeta ushindani na penye ushindani ndipo taifa hupiga hatua vinginevyo tumeshakwama na hatutoki hapa ng'o.
Ndo maana bosi wako Mbowe na karani wake Tundu Lisu wamekwenda kuisema nchi yetu kwa Mzungu?
ametoa mawazo hapo, wala hajalaumuJe ww umejipangaa vp kama Mtanzaniaa maanaa sisi kz yt ni kulaumu tu na walaa sio kutafutaa ufumbuzi au mawazo yk yataishiaa humuhumu jf
Binafsi ninapousikia huu usemi napatwa na kigugumizi ,kwa elimu yangu ndogo hii ya uchumi katika dunia ya utandawazi nina maswali mengi kushinda majibu kwa mfano
1.Viwanda vinavyotajwa kwenye makaratasi na mikutano mbalimbali ikitokea vikazalisha bidhaa tutauza wapi? (Market ya products at global level) Je tuta charge tarrifs na quotas kubwa bidhaa za ulaya na Mashariki ya mbali ili zetu ziuzike?
2.Swali la pili sambamba na swali lililopita ,hatuna technology, wala Reseach and deveopment centres ambazo ni nyumba ya innovations na technological capabilities so we depend totally on imported technology and machines. Tutawezaje kupambana katika soko na watu ambao wametuuzia technology? (assume machines tunazo however the fact hatuna) huu sio mpambano wa Tembo na sungura?
3.Swali la tatu historia inaonyesha nchi zote zilizoendelea kiviwanda waliwekeza kwenye rasilimali watu (human capital) tena kwa muda mrefu tu ,itawezekana vipi hii paper policy itekelezelezwe ndani ya miaka mi 5?
4.kwa wanaojua maana hasa ya Globalization is an attemp to make African countries to be primary producers wa raw materials hii ni moja ya objectives zao major political global powers hili halina ubishi utandawazi ni ubepari !hivyo basi kutangaza viwanda kwa nchi za ulaya na East Asia ni kutangaza vita ya masilahi tumejiandaa vipi kukabiliana na hili?tulijifunza kweli kwenye sera ya ISI pilicy ambayo tuli adopt soon after independence ikafa tukajaribu Export promotion industrialization ikafa kibudu ikafuata ujamaa policy then import liberalization na sasa SIDP?
5.Ushirikishwaji wa nchi za kiafrica zingine katika kuunda efficient regional integration and cooperation kwa kuwa na common markets ,free trade areas na ku charge ushuru mkubwa bidhaa za nje ya ukanda ili viwanda vya nyumbani (infantry industry) vikue kama wanavyo propose "Prof viners pure theory of international trade " na kuongeza bargaining power as a regional bloc ukoje na tumehamasishaje?
Au Tanzania as a single countrypeke yake
itazuia soko lake kuuzwa bidhaa kutoka nje ya nchi kama ilivyotokea mwaka 1667 nchi za ulaya walipozuia marekani wasiingie bidhaa za chuma Europe?
6.Aliyetunga sera ya viwanda kupitia chama cha mapinduzi alizitambua changamoto hizo juu?Je kwakutumia tu utashi wa kawaida wa kujua kusoma na kuandika hii sera inatekelezeka ndani ya miaka mitano?????
7.Tukiangalia kwa undani safari ya sera ya technolojia na viwanda na Africa kiujumla zinafana fanana ila moja ya sababu ya kufeli hii sera at first place Tanzania ni kushindwa ku repair machine. kwakua in Africa hamna technological transfer na patent rights za technolojia ni kubwa mno kiasi kwamba wataalamu wengi wana link acquisation ya technolojia na heavy debt burden (mikopo mikubwa) na bado wana control technolojia zao hata baada ya kukukodishia inatia umasikini bara la Africa vipi baba Magufuli umejiandaa nalo vipi hili?
Mbaya zaidi hizi imported technology hatuwezi ku adapt katika mazingira yetu (indegeneous technology )
8.Swali lingine je watunga sera ya viwanda wanajua kuwa maendeleo ya Africa yanaendeshwa na sera za nchi za magharibi?unajua kwanini huu ni muongo wa sita tangua Africa ianze kupata uhuru imeshindwa kuwa na self reliant development (self sustained) licha ya kuwa ni kinara wa resources?
Maswali ni mengi mno,sera ya viwanda kwa sasa hivi ni ya chama hii maana yake nini ikitokea chama kingine kikachukua madaraka upo uwezekano wakaifutilia mbali muda huo lazima tutambue hamna Taifa limekua kiuchumi bila maendeleo ya sayansi ,Techolojia na viwanda katika share yake kwenye GDP,BOP, kutengeneza ajira,kuongeza kipato na kuboresha maisha ya raia wake katika level mbalimbali za kijamii .
Hii hoja inaibua mjadala pia, Je sera ya nchi ikoje katika kukuza maendeleo ya sayansi na Technolijia?Je ilifeli ndo maana ikaanzishwa political party initiation ya viwanda?Huku sio kuanzisha administrative bureaucracy?Yaani tumeanzisha kitu ambacho kilishakuwepo lakini hakukuwa na utekelezaji maana yake tulishafeli?
Wasalam
BAVICHA ndio vijana wenye akili ndogo kama ya kuku hapa tanzania. Thread zao zinajulikana sana. Wakinywa viroba wanaingia kwenye mitandao na kuanza kutoa viroba vyao kwa njia ya maandishi.
Nyie BARAZA LA VIROBA cdm fanyeni kazi. Kazi ndio msingi wa maendeleo.