Tanzania ya vibweka

kuna watu wanasubiria kupiga kura tu! hawajui maswala ya siasa.. ati kuna wengine hawajui lisu kapigwa risasi..! utashangaa kweli tz ya vibweka😀
 
Kusema ukweli kunadiversification imefanyika lumumba. Wameshusha container la jesh la buku saba fc. Mi nildhani ni mitandaoni tu. Kumbe hata barabarani.
huyo mwenye tracksuit ya njano na notebook kubwa ndye kabeba daftari la majina ya wanaoshiriki maandamano. Ili wakitok hapo walipane walioshriki tu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapa ni Chattle au SAME?
 
Wafia tumbo hao.Eti watanzania wote,kama na mimi niko si bora ni ukane huo Utanzania wenu.Bure kabsaaaaa ili li nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…