Mh Rais umguse katika nyanja ipi hajatia mkoono wake wa maendeleo,yajayo yanafurahisha
Sisemi kuwa ataweka mradi Fulani ila anaenda kuboresha,ameweka mkono katika Kila nyanja ya maisha watanzania wanaahidi kumpa ushindi wa kishindo Ili akamilishe utiririshaji wa oxygen ya maisha bora katika Kila kitongoji nchini,umeme,maji,elimu Bora,fursa za kiuchumi ,barabara,sekta zote zibambe haswa
Haya yanafanywa kwa ndoto zinazomuongoza kama mteule wa Mungu aliyekuja kuwainua wananchi.Huku MKOANI hata vitongojini wanakwambia mama tena mlinzi wa amani na mboreahaji wa ustawi wa watanzania
Nikakutana na kijana mmoja kamaliza elimu ya upili ya sekondari akasema mama ni kama Franklin Delano Roosevelt aliyekuwa Rais wa Marekani,aliibadilisha nchi ya Marekani na kuwa America ya sasa yenye neema kwa wakazi wake,mifuko ya hifadhi ya jamii Bora,kilimo na ufugaji safi,maisha wa wazee matibabu safi,malighafi toka pembezoni mwa nchi zinafika katika soko analochagua mzalishaji,nani kama mama Samia miundombinu imeboreshwa.
Mama anaendelea kawatua ndoo wa mama wenzake waliokuwa wanatumia mda mwingi kutafuta maji,Sera ya nishati safi wamama ndo huwaambii ,wanasema chakula dakika tano kimeiva,amani ya familia imeboreka,wamama wameitikia sasa wanajikita katika uzalishaji na kuwaunga mkono waumenzao kujiletea maendeleo katika familia zao
Vijana wanatumia umeme uliofika kila Kona ya nchi kujiboreshea maisha,popote uendapo unawekeza usalama asilimia 💯,huduma za usalama wa fedha zimechagizwa na umeme Kila kijana anauhakika wa kuhifadhi pesa bank au katika simu yake kwa usalama
Mama huyuhuyu anatajwa kuingiza vijana katika mchakato wa utumiaji fursa za ajira,pikipiki kila kona vijana kwa wazee wanatumia kutafuta riziki zaidi wamethaminiwa na sasa wanaitwa maafisa usafirishaji tofauti na miaka ya nyuma ambapo vyama vya upinzani waliwapa majina yasiyojali utu huku wakiwatumia kuleta vurugu na baadae kutowajali. Wanasema sasa hivi katika vikundi vyao wanakopeshwa fedha na serikali,wanafunzi vyuo vya kati hadi vile vya juu mikopo imeboreshwa na inafika kwa wakati
Yote na yote wazazi hawawazii tena mwanangu atasoma chuo,mama amewapumzisha wazazi Kila mwanafumzi mwenye sifa kuwa na degree Sio ajabu.
Mama tunakuahidi 2030 malizia muhula wako kwa kuchukua fomu tena watanzania tunakuona kama lulu,zawadi toka kwa Mungu,kiongozi mwenye maono na shauku ya kuiweka Tanzania ya Roosevelt