- Thread starter
- #21
Hujui demokrasia ni sauti ya wengi😆😆🥱🥱,kweli CDM Kuna vifaaaa,ukisikia madishi yanayoyumba nenda hukoHoja yako ni ipi? Agombee ikiwa katiba hairuhusu kisa wengi wanataka?
Hujui demokrasia ni sauti ya wengi😆😆🥱🥱,kweli CDM Kuna vifaaaa,ukisikia madishi yanayoyumba nenda hukoHoja yako ni ipi? Agombee ikiwa katiba hairuhusu kisa wengi wanataka?
Upo sahihi.Hujui demokrasia ni sauti ya wengi😆😆🥱🥱,kweli CDM Kuna vifaaaa,ukisikia madishi yanayoyumba nenda huko
Voice of the people by the people for the people (who are people -wengi Sio wachache)Upo sahihi.