CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 4,984
- 4,083
- Thread starter
- #141
Mkuu kwanini useme "Huduma zenu " badala ya "Huduma zetu " wewe sio Mtanzania?Huduma zetu ni mbovu...
Wakaribishaji wetu (Port of Entry) ni wabovu, wana lugha chafu, hawajali, wapenda kitu kidogo
Polisi wetu huwasumbua sana Tour Operators
Wizi
Ubovu wa miundombinu kuanzia wanapoingia nchini hadi huko kwenye Utalii penyewe
Fukwe zetu ni chafu sanaa
Siasa zetu ni mbovu
Sent using Jamii Forums mobile app