TANZANIA YA 2030

TANZANIA YA 2030

Sikiliza nyimbo ya sauti sol inaitwa TUJIANGALIE wanasema vision ya 2030 itabaki ni story.
.
Nahisi haya ni malengo ya millennium wazungu waliotuwekea kwa sababu kila rais wa africa anaetaka kugombea anakuwa na sera kama si ya elimu bure basi 2030 umaskini kwisha na ukimwi kwisha.
.
Uganda wao wamedanganywa 2030 kila mganda atakuwa anauwezo wa kumiliki 2M kwa mwezi ona maajabu haya.
.
Sisi tumedanganywa 2025 tanzania itakuwa ya Viwonder na tutakuwa nchi ya uchumi wa kati (Lakini hawajaweka wazi je ni kama wa kenya au SA kwa lolihela madiba) HAPA TUNASHIKWA MATAKO WATU WAMEPIGA HESABU ZAO MAGUFULI ANAMALIZA MUDA WAKE 2025 ili hata asipotimiza hakuna wa kumfanya lolote na hatohitaji kura zenu tena.
.
Atakuja mwingine na sera ya barabara mpaka 2035 tuingie mkenge kwa kuwa watanzania waliowengi bado ni matahira.
MALAYSIA ni marufuku rais kuongelea maswala ya kujenga barabara n.k kwa sababu ni wajibu wa serikari yoyote.
 
Nimefungua haraka haraka nikijua kuna jambo linaongelewa kumbe ni upuuzii uleule.
 
Bila shaka tukimpa Rais Maguful muda wa nyongeza kama miaka 10 nazani kufikia 2030 Tutaiona Tanzania ikiwa kama hapo chini kwa picha [emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 967467
Mkuu Tanzania haiwezi kuendelea bila roadmap yani mipango ya miaka 30. Sasa kila raisi na vipaumbele vyake huyu kilimo huyu viwanda ajaye anaweza kuja na uvuvi. Halafu budget yetu ndogo lakini tuna vipaumbele vingi sana ndo maana kila mwaka ela inayopelekwa kwenye maendeleo uwa hata haifiki 50% ya iliyoidhinishwa.
Na haya unayoyaona kwenye picha hayapangwi na mtu mmoja toka ikulu kwamba kila akiamka ana allocate atakavyo
 
Na iwe hivyo kama unenavyo walahi
Na mafanikio yako kimaisha yaimarike sana
Positive thoughts walahi
Africa tunaweza
Tanzania nchi yetu tunayaweza yote walahi
Ehhh Mwenye Enzi Mungu tuongoze walahi
 
Mkuu Tanzania haiwezi kuendelea bila roadmap yani mipango ya miaka 30. Sasa kila raisi na vipaumbele vyake huyu kilimo huyu viwanda ajaye anaweza kuja na uvuvi. Halafu budget yetu ndogo lakini tuna vipaumbele vingi sana ndo maana kila mwaka ela inayopelekwa kwenye maendeleo uwa hata haifiki 50% ya iliyoidhinishwa.
Na haya unayoyaona kwenye picha hayapangwi na mtu mmoja toka ikulu kwamba kila akiamka ana allocate atakavyo
Kuwa positive wewe kijana mdogo
Achana na kupinga maendeleo utaangamia
 
Duh! kama Dubai hapo hapana, bwana mkubwa hana uwezo huo. Waarabu pamoja na black gold yao wametumia muda mara mbili ya huo kufika hapo.
Acha kujidharau kijana mdogo wewe
Umaskini uko juu yako milele walahi
 
Kuwa positive wewe kijana mdogo
Achana na kupinga maendeleo utaangamia
Hakuna asiyependa maendeleo ila let's call a spade a spade...
Maendeleo hayaji kwa bahati ni mipango endelevu tena ya muda mrefu. Hao china, Singapore na wengine wanakuwa na mipango ya muda mrefu hadi wana mpango wa china kwa afrika kwa mika mingi. Sisi hatuna hiki kitu tuna mipango ya muda mfupi na mingine haitekelezwi na ikifika mwaka mpya wa budget tunahama kwingine.
Ukiwa na ela kidogo huwezi itawanya ukatengnemea kwamba utaendelea, ila inabidi hiyo ela uiwekeze kwenye kitu kimoja au vichache ambavyo unajua vitatekerezeka.
Sisi tuna mipango mingi sana kuliko uwezo wetu
 
Umewaza mbali sana na umetushituwa, yaani tuwe na uRais wa China [emoji630]?
Aah Uncle Magu hataki maana ameshasema ni kazi ngumu na alisukumizwa tu! [emoji848]
Kama alisukumizwa amwachie membe 2020 sasa kama wanavyodai
 
Back
Top Bottom