Tanzania - Wanataaluma wabakaji

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
Je nao tuwaandalie list of shame hili dada zetu wasome kwa amani. Naomba kuwakilisha hoja. Rationale ya kuwa na hiyo list of shame ni kwamba mara nyingi vyuo vinapenda kuweka PR nzuri katika jamii na wadada ni waoga kujitokeza au kama mambo ya rushwa yanavyosema; inakuwa ni wini wini situation kwa hiyo wanaogopa kutoa ushahidi.

Shadow.

Lusekelo Adam
Daily News; Saturday,November 22, 2008 @21:15

Higher Learning Institutes Integrity Committee (whatever that is) has blown the whistle on junior university lecturers who literary rape female students who continue suffering silently in return for super grades in exams. The majority of the cases involve male lecturers abusing their authority to get sexual favours from students.

Hardly surprising, does it? Over the years, I have come to realise that while those brainy types impress their students with bombastic language and presumably rare knowledge in lecture theatres, they are usually turned to putty when it comes to chicks.

While they were concentrating on getting straight As in pure and applied maths, they forgot about one lesson – the art of seduction. It’s actually one of the noblest of the arts. You have to turn a cold chick, a female rottweiller, eyeing daggers at you into a doe-eyed sweet thing. You just keep cool. Don’t panic.

Always remember that love and hate are different sides of the same coin. Try humour (Tell her, for instance, your father has a couple of trains plying the Dar-Kapiri-Mposhi line …or something like that). Be kind to her. Don’t buy her sweets, just be sweet to her. Don’t be a fake because chicks can see fakes from as far away as Chalinze! Laugh at your weaknesses and be real.

But those booky types miss that part. When they see a chick who give them goose bumps they start practising their opening lines for weeks. Then they gather the courage and come out with very sexy opening lines, Something like: “When I was doing my PhD in bean psychology in the University of Uppsala in Sweden…

” Or you hear a lecturer in pathology say: “One day I was alone in the mortuary and found the fresh headless, corpse. That is what I was looking for – a fresh dead body, we call cadaver...” the young binti will disappear immediately and wonder if the young lecturer is thinking of another career as a horror movie director.

And then, a young lecturer with a PhD in nuclear photosynthesis might go to this binti who is making him lose his mind and he’ll say: “I have just been awarded a scholarship to outer Mongolia, but I am not going there without a wife. I swear!” and looks at her very significantly.

Or you get this young geezer, who is tongue tied and suffering from particular form of disease which afflicts university guys as a rule. It is called Uhangaisis…It is not life threatening, but it can really affect your psyche. You start getting these visions of being surrounded by pretty bintis swimming and eyeing the young tutorial assistant (TA) lustfully.

In reality the poor fellow can hardly eat, leave alone have a drink, to relax a tired brain. So, he gathers courage and invites this student for a private lecture in his pad: “Today we are going to have a lecture in anatomy. Take off your dress…” he orders, while breathing hard. Suddenly someone gets an ‘A’ in ‘anatomy.’ Who has been studying whose anatomy, you wonder? mbwene2@yahoo.com
 
Shadow
This issue has more branches nowadays...usawa wa jinsia eeh?
How about male students who approach female lecturers? This is also a sexual offence. Adhabu yao iweje? List of Shame? Wakamatwe? Wafukuzwe chuo? Walimu nao wagome kama wanafunzi? Kumbuka walimu wa kike wengi tena vigori wanaajiriwa sasa hivi
 
I think kama ni list of shame, then ziwe mbili; one for lecturers and the other for students, si kwamba pekee tu dada zetu wasome kwa amani, but also lecturers wetu wafanye kazi kwa amani ie nao wawaepuke mabinti wenye historia ya kuapproach malecturer)
 
I love Adam Lusekelo's column as much as I love lemon flavored Schnaps. On the other hand hao wakinadada, mtu by the time anaenda chuo akili imekomaa if they decide to sleep their way to their degrees then they are just that way, no one needs to protect them, and from what? Themselves?
 
We are talking about the integrity of our education system here, why does this need to be pointing a finger at either the professors of the students? Can't both be punished for violating academic integrity?

Show me a student whistleblower, or a professor shaming a student and I will show you a person with academic integrity.
 
Nimekupa Mwalimu zawadi,

Kumbuka lakini Mwalimu anakuwa na upper hand kuliko mwanafunzi. Suala ni namna gani kumlinda mtoto wa kike. Mwalimu wa kike anaweza kuwa na guts na kwenda kutoa ripoti kwenye kamati ya nidhamu( nilishashuhudia hilo mwalimu baada ya kusumbuliwa na mwanafunzi akatengeneza mtego na jamaa akamatwa na kesi yake kuamuliwa afukuzwe shule).

Hii list of shame haiishi hapo. Unajua jamii siku hizi imebadilika. Hata physian hawaaminiki wakibaki na wamama.

Huu ndio mtizamo wangu

Shadow
 
I think kama ni list of shame, then ziwe mbili; one for lecturers and the other for students, si kwamba pekee tu dada zetu wasome kwa amani, but also lecturers wetu wafanye kazi kwa amani ie nao wawaepuke mabinti wenye historia ya kuapproach malecturer)

Sawa nakuunga mkono katika hili. Kama kuna predator chuoni basi naye anawekwa kwenye list of shame. Haijalishi yeye ni mwalimu au mwanafunzi. Ila watoto wa kike wanapata tabu sana kama Lusekelo alivyonyambulisha.

Kama tunataka kuleta usawa wa kijinsia, basi hawa jamaa wa maksi za nanii ndo wa kuanza nao hili wasichana waweze kuplay at a levelled ground ya taaaluma.

Shadow
 
I love Adam Lusekelo's column as much as I love lemon flavored Schnaps. On the other hand hao wakinadada, mtu by the time anaenda chuo akili imekomaa if they decide to sleep their way to their degrees then they are just that way, no one needs to protect them, and from what? Themselves?

Nkamangi,

Just imagine huyo ni binti yako mrembo kuingia chuo kakutana na huyo mwalimu bazazi ambaye anamwambili binti yako anaweza kudisko asipotoa penzi. Binti hawezi kuja home kusema na kudisko anaogopa? akienda utawala, walimu wataleta za kanuni za kiCCM kwamba huyu ni mwenzetu na mashtaka yanapigwa chini na binti anayendelea kuathirika kisaikologia.

Take note kwamba yale si mapenzi bali Rushwa ya ngono

Sasa tutamsaidiaje huyu binti?

Shadow
 
We are talking about the integrity of our education system here, why does this need to be pointing a finger at either the professors of the students? Can't both be punished for violating academic integrity?

Show me a student whistleblower, or a professor shaming a student and I will show you a person with academic integrity.

Pundit, I concur with you. it all about integrity.
 
Nkamangi,

Just imagine huyo ni binti yako mrembo kuingia chuo kakutana na huyo mwalimu bazazi ambaye anamwambili binti yako anaweza kudisko asipotoa penzi. Binti hawezi kuja home kusema na kudisko anaogopa? akienda utawala, walimu wataleta za kanuni za kiCCM kwamba huyu ni mwenzetu na mashtaka yanapigwa chini na binti anayendelea kuathirika kisaikologia.

Take note kwamba yale si mapenzi bali Rushwa ya ngono

Sasa tutamsaidiaje huyu binti?

Shadow

the solution is to prepare ur children for the real world. Akiwa anajua what to expect these salivating academicians won't have a shot. Akili za darasani doesn't guarantee street saviness. It's not just about academic integrity
 
Suala la kufundishwa wanafundishwa. Suala ni kujenga mazingira ya kuripoti haya masuala kwenye vyombo huru. Wewe unajua hali halisi baadhi ya walimu wanatumia mamlaka yao kufanikisha ubazazi wao ikiwemo threat. Kufundisha haitoshi kama hakuna mazingira ya kumlinda huyu binti.
 
Back
Top Bottom