Tanzania waanza operations za Ubongo

Status
Not open for further replies.
Sijawahi kuelewa ni kwa nini TZ tunawekeza fedha nyingi sana na know- how kwenye magonjwa ambayo yanaathiri <1% ya Watanzania, hizi oparesheni za Ubongo sijui Moyo kwangu mimi hazina maana yoyote kwenye nchi ambayo bado watu tunakufa kwa kipindu pindu, Malaria, au hata uzazi tu wa Wamama na Watoto, hizi fedha tungepeleka huko Vijijini na Wilayani kwenye basic health care, haya ni maoni yangu tu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom