Tanzania Vs Morocco

Goooooooooooooooooo nilisema kaaruguuuuuuuuuuuu kaarufuuuuuuuuuuuuuuuu
3
 
tumepata dawa ya kuwanyoa waraabu.!
 
yeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeesssssssssssssssssssssssssssss
 
Taifa Stars made me proud today hahahahaha
 
Taifa Starz chini ya Mbwana Samata na Juma K. Juma hakika inatisha.
 
Raha tupu, la tatu hilo!!!!!!

Tiba
 
Asante mwenyezi Mungu, leo lazima niende kanisani namna hii. Naona na lile bango Tanzania 3 - morocco 0 lileeeeeeeeeeeeee uwanjani linapeperushwa.
 
ni mchezaji kama walivyo wachezaji wengine!labda added advantage kwake ni kuwa anacheza mpira wa kulipea TP Mazembe!!
... Watu wachache sana siku hizi wakuiletea sifa Tanzania ... sioni hata mbunge mmoja mwenye sifa za huyu ... nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…