sina ufahamu sana ila kinacho ongelewa hapa ni TV ya taifa!!!hizi zingine haziongelewi sana kwa sababu ni watu binafsi !!!wadau nauliza swali la kizushi hivi hizi TV zingine kama star tv na ITV huwa haziruhusiwi kuonesha mechi za timu ya taifa mpaka hao tu TBC au utaratibu ukoje mwenye ufahamu anijuze maana naona mizengwe imekuwa mingi sana
... Real wonderful ... cant believe dis!! By the way ...Huyu samata ni nani katika taifa la Tzstatistics zinaonyesa goli la kwanza Ulimwengu na la pili Samata!!!
.. Hii inawezekana ..Kuna shabiki uwanjani ana bango Tanzania 3 - morocco 0, naona kweli yanatimia hapa!!!
... Hii si uungwana ... !!Bora wawapige hata 5-0Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
ni mchezaji kama walivyo wachezaji wengine!labda added advantage kwake ni kuwa anacheza mpira wa kulipea TP Mazembe!!... Real wonderful ... cant believe dis!! By the way ...Huyu samata ni nani katika taifa la Tz
statistics zinaonyesa goli la kwanza Ulimwengu na la pili Samata!!!
kwanini mkuu!mpira ni ushindani!ndo maana uingereza kakandamiza mtu 8-0... Hii si uungwana ... !!
Hehehe Livescore.com chai sana eti Kafunga ulimwengu
[TABLE="class: match-details match-ellipsis league-table mtn"]
[TR]
[TH="class: sts"]65'
[/TH]
[TH="class: home"] Tanzania
[/TH]
[TH="class: sco"] 1 - 0
[/TH]
[TH="class: awy"] Morocco
[/TH]
[/TR]
[TR="class: partials"]
[TH="class: sts"][/TH]
[TH="class: home"]half-time:
[/TH]
[TH="class: sco"](0 - 0)
[/TH]
[TH="class: awy"][/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: title, colspan: 4"]match details :
[/TH]
[/TR]
[TR="class: even"]
[TD="class: min"]46'
[/TD]
[TD="class: ply"] Thomas Ulimwengu
[/TD]
[TD="class: sco"] 1 - 0
[/TD]
[TD="class: ply"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Tanzania 2 morocco O tbc 2 wanaonyesha, tbc 1 wanaonyesha mapokezi ya raisi wa china.Nawaona tbc wameanza kutangaza
na iwe hivyo mkuu ila mpira bado sana!!hongera Taifa stars, angalau leo uteja hakuna