Alagwa Member May 30, 2012 95 85 Dec 6, 2012 #1 Tanzania imechapwa 3 bila mpaka sasa. Umeme umezima uwanjani mechi imesimamishwa
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Aug 10, 2012 47,849 41,169 Dec 6, 2012 #3 Eeeeh eeeeh wamebana wameachia, jst joking.
Alagwa Member May 30, 2012 95 85 Dec 6, 2012 Thread starter #4 Watanzania vichwa chini tumepigwa TATU bila huo ndo mpira bhana unadunda dakika 90 kwa uganda hadi sasa hawaja wahi kufungwa kwenye michuano hii.
Watanzania vichwa chini tumepigwa TATU bila huo ndo mpira bhana unadunda dakika 90 kwa uganda hadi sasa hawaja wahi kufungwa kwenye michuano hii.
A Amani Mrimbo Member Nov 23, 2010 64 9 Dec 6, 2012 #6 Alagwa said: Watanzania vichwa chini tumepigwa TATU bila huo ndo mpira bhana unadunda dakika 90 kwa uganda hadi sasa hawaja wahi kufungwa kwenye michuano hii. Click to expand... Tulijua Tunavyochinja ngombe (Somalia) ndivyo tutakavyochinja NYATI(Uganda) ! Tawire TZ
Alagwa said: Watanzania vichwa chini tumepigwa TATU bila huo ndo mpira bhana unadunda dakika 90 kwa uganda hadi sasa hawaja wahi kufungwa kwenye michuano hii. Click to expand... Tulijua Tunavyochinja ngombe (Somalia) ndivyo tutakavyochinja NYATI(Uganda) ! Tawire TZ