Tanzania V/S Uganda

Alagwa

Member
May 30, 2012
95
83
Tanzania imechapwa 3 bila mpaka sasa.
Umeme umezima uwanjani mechi imesimamishwa
 
Watanzania vichwa chini tumepigwa TATU bila huo ndo mpira bhana unadunda dakika 90 kwa uganda hadi sasa hawaja wahi kufungwa kwenye michuano hii.
 
Watanzania vichwa chini tumepigwa TATU bila huo ndo mpira bhana unadunda dakika 90 kwa uganda hadi sasa hawaja wahi kufungwa kwenye michuano hii.

Tulijua Tunavyochinja ngombe (Somalia) ndivyo tutakavyochinja NYATI(Uganda) ! Tawire TZ
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom