You nailed it. 📍📍📌📌📍Unanunua bendela wenzako wananunuliwa ma V8.
Uzalendo tunao sana tu mbona tunavaa za Simba na Yanga?Umewahi kununua Bendera ya Tanzania kuweka ghetto au kwenye gari?
Umewahi kufanya maandamani ya amani ya kumbukizi ya uhuru ukiwa na shati hata ya Tanzania?
Wimbo wa taifa mara ya mwisho kuuimba ilikua lini?
Sherehe za kimkoa za uzalendo, nje ya zile za chama lini umewahi kushiriki?
Je, viongozi wa Nchi wanahubiri uzalendo na Nationalism?
Mengine niwaachie mjitafakari ninyi....
😅😅Unanunua bendela wenzako wananunuliwa ma V8.
Uzalendo haupimwi tu kwa kuwa na bendera, kuvaa shati na kuimba nyimbo za taifa.Umewahi kununua Bendera ya Tanzania kuweka ghetto au kwenye gari?
Umewahi kufanya maandamani ya amani ya kumbukizi ya uhuru ukiwa na shati hata ya Tanzania?
Wimbo wa taifa mara ya mwisho kuuimba ilikua lini?
Sherehe za kimkoa za uzalendo, nje ya zile za chama lini umewahi kushiriki?
Je, viongozi wa Nchi wanahubiri uzalendo na Nationalism?
Mengine niwaachie mjitafakari ninyi....
Uzalendo wenzako wakula keki ya taifa ww unalilia hapa watoto wanasoma kayumba ya kidumu cha maji na mfagioUmewahi kununua Bendera ya Tanzania kuweka ghetto au kwenye gari?
Umewahi kufanya maandamani ya amani ya kumbukizi ya uhuru ukiwa na shati hata ya Tanzania?
Wimbo wa taifa mara ya mwisho kuuimba ilikua lini?
Sherehe za kimkoa za uzalendo, nje ya zile za chama lini umewahi kushiriki?
Je, viongozi wa Nchi wanahubiri uzalendo na Nationalism?
Mengine niwaachie mjitafakari ninyi....
Ndio haupimwi kwa Bendera ila izo demonstration ndio vinaleta morali na patriotism. Kwa wenzety Jamaica Wana sherehe za kitamaduni zinavutia watu kimataifa. Bongo hii sherehe zetu ni za kuonyesha mitutu, hakuna uzalendoUzalendo haupimwi tu kwa kuwa na bendera, kuvaa shati na kuimba nyimbo za taifa.
Uzalendo ni suala zima la kutetea raia wenzako dhidi ya serikali na mataifa ya nje.
Mlikosa hata ya chama cha mboga mboga? Mlituangusha sanaNiliwahi kwenda mkutano fulani nje ya nchi. Tukatengwa kinchi, Wabongo tulikuwa kama 20 hivi, tukajikuta hakuna kabisa mwenye bendera. Lakini wakenya uganda, zambia walikuwa na bendera zao. Ikabidi tukanunue
Wengine wapige hela huko, halafu mimi nivae shati lenye bendera?Umewahi kununua Bendera ya Tanzania kuweka ghetto au kwenye gari?
Umewahi kufanya maandamani ya amani ya kumbukizi ya uhuru ukiwa na shati hata ya Tanzania?
Wimbo wa taifa mara ya mwisho kuuimba ilikua lini?
Sherehe za kimkoa za uzalendo, nje ya zile za chama lini umewahi kushiriki?
Je, viongozi wa Nchi wanahubiri uzalendo na Nationalism?
Mengine niwaachie mjitafakari ninyi....
Umenena vyema, una busara na ujuzi mzuri.Tanzania ni nchi isiyokuwa na ideology kwa sababu ina mchangyiko mkubwa sana wa watu, Bantu, Cushtic, Nilotic, Arabs, hindis, na mchanganyiko wa hao. Hakuna ethnicity kubwa tanzania au kabila kwahiyo watu wanakosa kitu cha kujitambulisha nacho hivyo uzalendo au ule utambulisho umepotea. Pia lugha ya kiswahili imechangia pakubwa kupoteza
1. Utamaduni wa kikabila
2. Mila na desturi
3. Utambulisho
KWasbabu hiyo tanzania imekuwa rahisi kuitawala bila usumbufu kwasababu hakuna kkitu cha kuwavuta watu pamoja. Haina utambulisho aidha wa kitamaduni, muonekano, mapishi au hata hulka.
Ukiangalia kenya wanajitambulisha kwa makabila makubwa kama kikuyu, luo, kalenjin n.k SA kuna wazulu na xhosa.
Nigeria kuna igbo, hausa, Uganda kuna Baganda, Nyankole n.k.
Nchi hii imebakia kuwa kama ya wahamiaji haina mwenyewe ndio maana hamna uaendo wala uchungu sababu hizo hapo juu.