Hii sasa kaliSerikali inashika nafasi ya pili kwenye maswala ya kiintelijensia ukianza na kigogo
Hii sasa kaliSerikali inashika nafasi ya pili kwenye maswala ya kiintelijensia ukianza na kigogo
Msaidie mecco kumnasa uuage umasikini fursa hio.Ananifurahishaga sana kigogo
Kwani uji tza ndio chuo cha kupika madikteta afrika, either wamewahi ishi au kupita tza.Kabila, kagame,m7,kwa uchacheTanzania kwa sasa inaenda kuwa shule kwa madikteta juu ya namna ya kuwabana mbavu wakosoaji wao
Hapa ndo mtavuruga na kumnyima usingizi kabisa kusema ni taasisi soon watu watachezea utumbuzi.Kigogo siyo mtu ni taasisi
BBC na yeye wana mrengo mmoja kwa hiyo sio ajabu kupatanaHapo Meko atakuwa anapiga ngumi ukuta kwa hasira kwanini yeye ashindwe kumpata Kigogo BBC waweze![]()
Ipo siku BBC watatuonyesha alipo Ben na Azory maana wao ni noma. BBC eye wameonyesha mengi Sana yaliyowahi kuwa Sirini. Angalia wanawake na watoto wa Cameroon waliouliwa na wanajeshi wa serikali ya Cameroon, angalia nyumba za machinjio ya watu za nkurunziza burundi. Kuna watu wataumbuka sijui wataweka wapi nyuso zao. Hakuna Siri itakayoweza ificha chini ya jua
Ni nani kwa majina?Kigogo aanajulikana sana, sema yuko nje ya nchi ndio maana ni ngumu kumnasa!
Yani yuko kama alivyokuwa Mange tu
Sasa unataka wakutajie?Ni nani kwa majina?