Tanzania 'using Twitter's copyright policy to silence activists'

Tanzania 'using Twitter's copyright policy to silence activists'

Kigogo anajulikana na ni mpumbavu tu anayetumika kama toilet paper!

Hana taarifa zozote za maana zaidi ya matusi na Mungu anaendelea kumjibu:-
1. Alisema mkuu wa nchi kafia ujerumani na washabiki wake wakapeperusha mitandaoni bendera ya Tz nusu mlingoti! Alipojigundua kaongopa hata msamaha hakuomba!!!

2. Alitangaza mama wa bwana mkubwa kafa hivyo akazike mzoga wake. Mungu sio Athumani baba yake Kigogo Mzee watu Mlawa akafariki hapa Ifakara! Kigogo akashindwa hata kuzika mzoga wake kama alivyotukana wengine!

3. Amehamasisha sana vurugu wakati wa uchaguzi! Watanxania sio wajinga! Walimdharau agenda ikafia mbali.

4. Alidanganya na anadanganya vitu vingi sana watanxania na wengine tumpuuze!

Ni wakati tweeter wafute kabisa akaunti hii ya Hong na iloyojaa ghiliba na matusi.

Queen Esther
Aliwaingiza chaka LISU na CHADEMA kwamba ana kituo chake cha kuhesabia kura na tume wasithubutu kubadili matokeo, tena akasema kabisa lisu na seif wajiandae tu kuapishwa.

Lisu nae alivyo mbumbumbu wa siasa akamuamini
 
Kama ulinielewa vizuri niliposema Kama kigogo tu pekee anaweza kupata taarifa muhimu za mipango ya siri ya serikali, je kwa magaidi au watu wenye nia ovu na serikali itakuwaje!?

Kwa ufupi hapo nilimaanisha serikali yetu hii na taifa zima kwa ujumla tuna weakness kubwa sana yaani tuko uchi na siku tukipata waasi wenye nguvu hatutasalimika.

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Na mimi nikakuuliza, unaweza kuleta mfano wa hizo taarifa nyeti za selikali alizoleta kigogo?
 
Kwani BBC ni tawi la serikali?

Lugola si aliapa kumtia nguvuni na kumtaja hadharani?

Kama wanamjua, kwanini waliomba physical address na taarifa binafsi pindi account yake ilipokuwa suspended?
Mkuu kama unaamini selikali haimjui kigogo basi pole!
 
Back
Top Bottom