Ona hili punguani lililochoandika. Yaani kwake kila anayepinga utekaji, mauaji na dhuluma nyingine zozote, ni CHADEMA! Majitu kama.haya yanaidhalilisha sana CCM. Yaani kwa jitu kama hili, wanaCCM wote ni waovu na wadhulumaji! Haliamini kuwa hata mwanaCCM anaweza kukemea utekaji!,Utashangaa Ma CHADEMA yanapinga maana yenyewe kila kitu ni kupinga pinga tu bila ushahidi. Halafu hapo hapo yanaaanza kutukana Matusi bila sababu ya msingi utafikiri yamelewa Gongo
.
Tunatekwa na kuuawa hamna ubishiKwa mujibu wa UNO Tanzania haimo katika nchi zenye kusababisha wakosaoaji kuuwawa au kulazimishwa kupotezwa.
China
Russia
Saudi Arabia
Iran
North Korea
Syria
Egypt
Myanmar
Pakistan
Bangladesh
Venezuela
Belarus
Eritrea
Turkey
Philippines
Mexico
Iraq
Ethiopia
Sri Lanka
Sudan
Ni muhimu kuelewa kuwa Tanzania bado wakosoaji wanatunzwa bila kuuwawa kama raia wengine
USSR.
Unakumbukumbu nzuri sanaUshahidi wa Padre Slaa umethibitisha kwamba Chadema wana kitengo maalum cha kuteka na kuua.
Tukuulize weweMdude yuko wapi?