zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,835
- Thread starter
- #61
Ila kumbe mimi sina tofauti na mtu mwenye PHD Au masters kwasababu mtatusimamisha mahala mseme ongeni kiingereza wote tutaongea...Kuna Binadamu yoyote ambaye anajua / ana-master kila kitu ?
Kwahio unataka mtaalamu wa kutunga nyimbo pia awe mtaalamu wa kutunga vitabu ?
Je unataka mtaalamu wa mapishi pia awe mtaalamu wa kilimo ? Au unataka mtaalamu wa sayansi pia awe mtaalamu wa uchumi...
Au sababu lugha inatumika kuwasilisha mawazo unadhani hio lugha haiwezi ikasomwa ki-undani na mtu akaielewa..., hata leo akija gwiji wa kuongea na kuelewa kisukuma ambae katumia muda wake kukitafiti na kukielewa kisukuma kwa sisi tusiojua hicho kisukuma atakuwa ni msomi kwetu... Au Usomi unaanzia wapi na kuishia wapi ? Au unadhani lile karatasi ambalo linasema wewe ni msomi ndio kipimo cha usomi ?
Japokuwa mimi elimu yangu ya Form 3 na yake kavuka kote huko....
Kapasua anga vitabu Kama vyote..
Ila kiingereza tunaongea wote..si ndivyo sisi wote wasomi sasa