Tanzania ukijua kuongea Kiingereza unaonekana msomi

Basi uko kwenye ile asilimia 15%

Na kwa nini ukaishia form 3 tu? Mara nyingi wanafunzi wanaojua kiingererza shuleni huwa hawaishii form 3
Mwalimu alinichapa eti sijaandika notes za History na wakati ndo nilikuwa best student in history darasani kwetu..

Nikajiuliza Kama mwalimu analipwa karo na kwa hiari yangu nimekwenda kupata elimu.

Nilijiuliza Kama Maarifa unayo unahitaji notsi ya nini!
Tunataka walimu wawarithishe wanafunzi maarifa sio kuwakaririsha na kujaza notisi zisizo na manufaa kwao
 
Heee! Na wazazi wako/guardians wakaridhia wewe kuacha shule?
 
Tatizo lilikuwa kwa wazazi/guardians wako. Kukuacha ufanye uamuzi kama huo ukiwa form3 najiuliza walikuwa wanawaza nini. Form 3 ni mtoto wa kuchapa viboko aende shule, sio kujadiliana nae katika suala la kuacha shule
 
Tanzania ndio nchi pekee mtu akijua kuongea Kiingereza anaonekana ni Msomi.

Hata wazazi wakiwapeleka watoto wao shule zao za English Medium fahari yao ni kuona mtoto anajua kuongea Kiingereza.

Ila kwa nchi nyingine. Kwa mfano nchi ya Israel kuna wasomi na wanasayansi wengi ambao hawatumii Kiingereza.

Hata nchi za Uarabuni Kama U.A.E hazitumii lugha ya Kiingereza katika masomo na watu wake ni wasomi.

Hata China nchi yenye maendeleo ya Viwanda duniani, hawatumii kingereza katika mfumo wa elimu ila kuna wasomi wengi tu.
Yes yes
 
Na,
Ndio Nchi pekee ambayo Lugha ya kufundishia Mashuleni inasemwa ni Kiingereza lakini,
Unaweza kukutana na mwenye Shahada zake kadhaa lakini kutengeneza Sentensi moja ya Kiingereza kwa usahihi,
Jasho litamtoka🤒
 
Tanzania ndio nchi pekee mtu akijua kuongea Kiingereza anaonekana ni Msomi.

Hata wazazi wakiwapeleka watoto wao shule zao za English Medium fahari yao ni kuona mtoto anajua kuongea Kiingereza.

Ila kwa nchi nyingine. Kwa mfano nchi ya Israel kuna wasomi na wanasayansi wengi ambao hawatumii Kiingereza.

Hata nchi za Uarabuni Kama U.A.E hazitumii lugha ya Kiingereza katika masomo na watu wake ni wasomi.

Hata China nchi yenye maendeleo ya Viwanda duniani, hawatumii kingereza katika mfumo wa elimu ila kuna wasomi wengi tu.
Kwa sababu tumetawaliwa na waingereza na vitu vingi vipo kwa lugha yao

LUGHA MAMA YA DUNIA
 
Back
Top Bottom