zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,835
- Thread starter
- #101
Mwalimu alinichapa eti sijaandika notes za History na wakati ndo nilikuwa best student in history darasani kwetu..Basi uko kwenye ile asilimia 15%
Na kwa nini ukaishia form 3 tu? Mara nyingi wanafunzi wanaojua kiingererza shuleni huwa hawaishii form 3
Nikajiuliza Kama mwalimu analipwa karo na kwa hiari yangu nimekwenda kupata elimu.
Nilijiuliza Kama Maarifa unayo unahitaji notsi ya nini!
Tunataka walimu wawarithishe wanafunzi maarifa sio kuwakaririsha na kujaza notisi zisizo na manufaa kwao