Mchelea Mwana
Member
- Apr 21, 2008
- 83
- 0
Chuma . . . Asante sana kwa angalizo. Actually nia yangu ya kuanzisha hii thread ni kutaka Watanzania wengine tuweze kujifunza kutoka kwa wenzetu ambao wemefanikiwa katika hilo. Bila ya shaka kuna watu ambao geinuinely watakuwa wamepata utajiri kwa njia za haki na tunapaswa kujifunza kutoka kwao. Na hili sidhani binafsi kama ni swala la kisiasa bali la kimaendeleo na hasa hasa kibiashara na bila ya shaka wenzetu hao watahitaji pongezi as long as tutapata actual facts.
Binafsi kama umeona post zangu zote hazina muelekeo wa kisiasa na ndio maana ninaweka na sources za information zangu.
TPN ni Mtandao ambao haufungamani na Jinsia, Dini wala Siasa za mlego wowote na ndio maana ina wapenzi na wanachama wa namna zote.
Kuna njia nyingene nzuri tu za kujifunza kwa watu walifanikiwa lakini sio hii unyofanya wewe hapa, kwanza hatutasikia chochote kutoka kwao ....please tafuta njia nyingine
Mchelea Mwana, asante kwa angalizo. Nitashukuru kama utatueleza pia "Njia nyingine nzuri ni ipi" ya kuwajua matajiri wa Tanzania waliofanikiwa kihalali. Niko tayari kusikiliza ushauri wako.
Sijuai unazungumzia kiwango gani cha mafanikio lakini kwa msaada mfupi kama shida ni kujifunza jinsi gani wemefanikwa na "ups an down" zao itisheni kikao cha pamoja nao au fanyanao mahojiano ya one on one then ilete hapa tutapata picha ni jinsi gani wamefanikiwa.
Ahsante mzee
Reginald mengi
Jamani mbona mnazunguka hata kuhit kwenye point hakuna.Sasa nani zaidi hata za kifisadi hizo hizo.
Mchelea Mwana, asante kwa angalizo. Nitashukuru kama utatueleza pia "Njia nyingine nzuri ni ipi" ya kuwajua matajiri wa Tanzania waliofanikiwa kihalali. Niko tayari kusikiliza ushauri wako.
According to a survey published by Forbes magazine, the top richest men in Africa are listed below
1 Nassef sawiri an Egyptian worth $11 billion is richest in Africa and 68th in the world
2 Onso Sawiris also an Egyptian is second in Africa and 96th in the world rich list with his $9 billion assets
3. South African Nicky Oppenheimer, with a net worth of $5.7 billions is 3rd richest in Africa and 173rd in the world rich list
4. South African Johan Rupert worth $3.8 billions is forth in Africa and the 284th in the world
5. Aliko Dangote, Nigerian is the 5th richest man in Africa and 334th in the world with a net worth of $3.3 billion