Rwanda na burundi hawana namna ya kutoitumia Dar portILA MIZIGO YAKE UNAPENDA IPITIE BANDARI YETU AU?
Hapo hana ujanja, kipindi fulani alijitia kibri akawa anapitishia Mombasa, Road Toll ikamtoa kamasi ikabid arud BongolandILA MIZIGO YAKE UNAPENDA IPITIE BANDARI YETU AU?
WATU WAMETUNGA VINGI CHINI YA JUAMagufuli alitapeliwa? Mbona ndo nasikia leo?
Umeitoa wapi hii??
Magufuli alitapeliwa? Mbona ndo nasikia leo?
Umeitoa wapi hii??
Rwanda ndio nchi inalipa road toll ya dola 152 kwa truck kutoka Rusumo hadi Dar es salaam some good 1200 plus km,Magufuli alitapeliwa? Mbona ndo nasikia leo?
Umeitoa wapi hii??
mizigo ya Rwanda unafikiri ni mingi kiasi hicho? mingi ni ya Congo, Zambia, malawi, Burundi. Rwanda mingine anapitishia kenya. tunatakiwa pia kutafuta alternative ya mizigo inayoenda eastern congo ili isipite kabisa Rwanda au ipite Rwanda kwa alternative, tutafute namna ipitie burundi au ikatishie kwa meli ziwa Tanganyia. hi i ni kwasababu ugomvi ulipotokea kipindi cha Jk walitupandishia tozo za mizigo inayotoka tz, pia, kipindi hiki cha covid wamenyanyasa sana madereva wetu, na tunatakiwa kutafuta ufumbuzi wa kudumu ili akituona njiani atuheshimu.Kwa hiyo milango mnafungua kwa baadhi ya majirani tu? Mizigo yake mnataka ipitie bandari ya dar es salaam hili mpate pesa. Mbona pesa yake hamuikatai? Acheni Rais afanye kazi yake kwa sababu halazimishwi kukubali ushauri /urafiki na nchi yeyote. Mbali na madhaifu yao majirani zetu ni muhimu sana kwa mambo mengi tu.
hii kitu ni kwasababu gani? inatakiwa kubadilika haraka iwezekanavyo.Rwanda ndio nchi inalipa road toll ya dola 152 kwa truck kutoka Rusumo hadi Dar es salaam some good 1200 plus km,
Kwa kawaida Road toll hulipwa kutokana na umbali na kwa 1200 km halali ilitakiwa iwe region ya 500 plus usd,lakini kwa Rwanda protocals zilibadilishwa. Ni kama walipewa exemption ya kutumia barabara zetu bila malipo
Mkuu wewe acha tuhii kitu ni kwasababu gani? inatakiwa kubadilika haraka iwezekanavyo.
Rwanda walitupandishia sisi mizigo tulipie laki tano tunapopitisha kwenda congo, ni baada ya Jk kugombana naye kipindi kile. Mh Samia suluhu anatakiwa apandishe haraka hii kitu kwasababu tunajenga barabara kufaidisha wanyarwanda na pia madereva wetu wanaumia/kosa ajira. Rwanda wenyewe wana faida gani kwetu ya kuwapa exemption? alimshikaje masikio mwendazake huyu jamaa? tuamke.Mkuu ww acha tu
Unakumbuka mwendazake alipokuwa waziri wa ujenzi , aliwachukia sana transporters wa Kitanzania kuwa wanaharibu barabara.? Na hii ndo ilikuwa fimbo madubuti ya kuwaadhibu transporters
Kwa roadtoll ya 152 manake ni kuwa transporters wa Tanzania walionekana ni ghali kupeleka mizigo rwanda . na ndo huu utitiri wa gari za rwanda unauona leo ,
Tra wanakosa mapato pia kwa sababu gari ya Rwanda huezi idai , Efd receipt , sumatra etc na wala hawalipi mapato