Tanzania tuwe makini na Rais Paul Kagame, siyo mtu wa kuaminika

PAKA sio mtu mzuri kabisa, check alivobadili gia angani alipomgeuka mwanafunzi wake.
 
  • Thanks
Reactions: _ID
PAKA ndie chanzo cha vurugu za congo zisizoisha,siku Mungu akimpangia majukumu mengine nchi za maziwa makuu ndipo zitakapo kuwa na amani.
 
PAKA kuuwa watu ni SAwa na kunywa pepsi asijemwambukiza roho chafu.
Hii picha ni ya ulimwengu wa roho chafu ikimaanisha tumia risasi kuongoza watu, baada ya zawadi ya hii picha tumeshuhudia umwagaji damu ambao atukuzoea kupitia wasiojulikana, viroba baharini, utekaji,watu kupigwa risasi,mapanga,nk.Hapa ndipo roho chafu ya umwagaji damu ilipoingizwa nchini kupitia picha hii.Picha ni art ubeba roho au maana fulani ktk ulimwengu wa roho.

Screenshot_20210507_063016.jpg
 
Kwa hiyo milango mnafungua kwa baadhi ya majirani tu? Mizigo yake mnataka ipitie bandari ya dar es salaam hili mpate pesa. Mbona pesa yake hamuikatai? Acheni Rais afanye kazi yake kwa sababu halazimishwi kukubali ushauri /urafiki na nchi yeyote. Mbali na madhaifu yao majirani zetu ni muhimu sana kwa mambo mengi tu.
Kuwa rais hakumaanishi una akili au kujua zaidi kuliko waajiri wako.Raisi ni mwajiriwa kama wengine na sisi ndio maboss zake.
 
mizigo ya Rwanda unafikiri ni mingi kiasi hicho? mingi ni ya Congo, Zambia, malawi, Burundi. Rwanda mingine anapitishia kenya. tunatakiwa pia kutafuta alternative ya mizigo inayoenda eastern congo ili isipite kabisa Rwanda au ipite Rwanda kwa alternative, tutafute namna ipitie burundi au ikatishie kwa meli ziwa Tanganyia. hi i ni kwasababu ugomvi ulipotokea kipindi cha Jk walitupandishia tozo za mizigo inayotoka tz, pia, kipindi hiki cha covid wamenyanyasa sana madereva wetu, na tunatakiwa kutafuta ufumbuzi wa kudumu ili akituona njiani atuheshimu.
Sahihi ipitie Kigoma sio mbali kwenda Congo
 
Magufuli katapeliwa commission ya ununuzi wa Bombardier zile 2 za kwanza kwa kuwa Kagame ndiye aliyekuwa mtu kati.

Hata zile dhahabu zilizokamatwa zikitoroshwa halafu ikamlazimu Magufuli aingie Gereza la Butimba kuwatoa wale Askari zilikuwa za Kagame.

Vyote hivyo Kagame katia ndani na ndiyo kisa cha kuharibika mahusiano mpaka hakuja hata kumzika Mwendazake.

Somo; Ili kuwa rafiki na Mwendazake ilikuwa lazima uwe popoma kama akina Kabudi, Polepole na Bashiru
Kuna minong'ono kama Teacher kala Mihogo ya mwanafunzi wake yenye thamani ya tilioni 7 ndipo chanzo cha uswahiba wa kufundishana tuition ya udikteta ukafa.
 
PAKA kuuwa watu ni SAwa na kunywa pepsi asijemwambukiza roho chafu.
Hii picha ni ya ulimwengu wa roho chafu ikimaanisha tumia risasi kuongoza watu, baada ya zawadi ya hii picha tumeshuhudia umwagaji damu ambao atukuzoea kupitia wasiojulikana, viroba baharini, utekaji,watu kupigwa risasi,mapanga,nk.Hapa ndipo roho chafu ya umwagaji damu ilipoingizwa nchini kupitia picha hii.Picha ni art ubeba roho au maana fulani ktk ulimwengu wa roho.

View attachment 1807785
Ama kweli, nimeona kama marisasi halafu ngo'mbe zimefungwa mapembe...
 
Mzee Mstaafu Kikwete tafadhali mtahadharishe Rais Samia juu ya unafiki wa Kagame maana unamfahamu vizuri.

Kagame ni mtu mbaya sana na yuko radhi kufanya lolote ilimradi apore mali, leo hii taifa lijifunze hatutaki influence ya watu aina ya Kagame tena kwenye nchi yetu.

Kama nchi hatutaki kabisa Kagame na habari zake tena hapa yeye aendelee kuunda waasi wake huko DRC , aendelee kushirikiana na mabebebru kuiba rasilimali za Congo lakini hatutaki yajirudie kwetu hapa.

Hayati Magufuli alifanya kosa kubwa kumwamini.
Ndio maana kuna waliosomea diplomacy. Hakuna sababu ya kumchukia na kuonyesha una chuki. Ni kuchukua tahadhari tu tena kimya kimya
 
Kuna minong'ono kama Teacher kala Mihogo ya mwanafunzi wake yenye thamani ya tilioni 7 ndipo chanzo cha uswahiba wa kufundishana tuition ya udikteta ukafa.
Ka trillioni 7 kanauma, ni bora tu utokomee na twisheni yako...
 
Mzee Mstaafu Kikwete tafadhali mtahadharishe Rais Samia juu ya unafiki wa Kagame maana unamfahamu vizuri.

Kagame ni mtu mbaya sana na yuko radhi kufanya lolote ilimradi apore mali, leo hii taifa lijifunze hatutaki influence ya watu aina ya Kagame tena kwenye nchi yetu.

Kama nchi hatutaki kabisa Kagame na habari zake tena hapa yeye aendelee kuunda waasi wake huko DRC , aendelee kushirikiana na mabebebru kuiba rasilimali za Congo lakini hatutaki yajirudie kwetu hapa.

Hayati Magufuli alifanya kosa kubwa kumwamini.
Kuongoza nchi sio sawa na kuongoza familia kwamba ukiamua kugombanisha familia basi mnagombana tuuu... So tumia akili kifikiri na si hisia
 
Back
Top Bottom