Tanzania tuwe makini na Rais Paul Kagame, siyo mtu wa kuaminika

Tatizo kubwa la watu waafrika ni Ujinga wa baadhi kujiona ni bora kuliko wengine dhana hii ni ya kijinga sana ambayo binafsi mtu mwenye mawazo kama haya huwa namdharau sana sana, katika watu huwa wanaheshimu ktk jukwaa la Jamiiforum ni wewe na mimi si shabiki wa mambo ya kijinga ya kutaka kugombanisha Tanzania na Rwanda huwa naamini kabisa wanaoleta mawazo hayo ni watu wenye mitazo ya kijinga na kikabila.
Bahati mbaya sana maelezo yako eti Wanyarwanda wana akili kubwa na labda eti wazanaki, wahaya na wahangaza eti wao kidogo wana akili inanifanya nikuone hata wewe kumbe ni mjinga tu na una mawazo ya kipuuzi.

Mnyarwanda ana akili gani au ana ubora gani kuliko Mtanzania? sioni tofauti yoyote na bahati nzuri nimekaa sana Rwanda na hata wahaya sioni tofauti ya akili kubwa unayo dai zaidi ya mawazo kijinga tu na upumbavu na ndiyo maana hata wazungu walifauli kugombanisha kwa kuwadanganya eti watsusi ni bora kuliko wahutu na matokeo yake mpaka leo mnagombana na kushindana kujikweza, ujinga huu ndiyo ulipelekea mpaka mauji makubwa sana.
Kagame amejitahid sana na namsifu kuondoa ujinga huo na ndiyo maana nchi yenu sasa inaenda vizuri, but nakuapia kwa watu wenye mawazo ya kujiona wao ni bora kuliko wengine wakipata madaraka lazima wataleta machafuko mengine. Kwingine nakubaliana wewe tuache ujinga wa kuchochea chuki.
Kuhusu kumkubali Mama Samia au la usimtishe kwani wewe nani? hata usipomuunga mkono sisi watanzania tunamuunga mkono. Wewe kama vipi nenda kwenu Rwanda ila usitishe na kudharau watanzania kwa kujificha kweye keyboard huku ukidhania hatujui wewe ni nani tena nakuhakikishia mimi nakujua vizuri ipo siku nitatoa jina lako halisi hapa na makazi yako.
Itapendeza zaidi ukishatoa Jina langu halisi la Kalemera Mazimpaka Rwigyema na uwaelekeze yalipo Makazi yangu hapa Mkoani Gisenyi nchini Rwanda nilipo pamoja na Picha yangu pia sawa? Huwa na sijawahi pia kutishwa na ' Pigs ' wa aina yako na Vita Mimi ni sehemu Kuu ya Maisha yangu na si tu napenda Vita bali naimudu ( naiweza ) Vita vile vile.
 
Yaani wewe nimekudharau kabisa . Kama hao unawasifia hapa kwamba wana akili ndiyo wako hivyo basi nyie hovyo kabisa na wajinga wakubwa ndiyo maana mnauwana kama wanyama tu. Nimepoteza muda wangu kujadiliana na wewe kumbe kichwa hakina akili ni kopo tu. Vita? we nunda kweli aisee
 
Mzee Mstaafu Kikwete tafadhali mtahadharishe Rais Samia juu ya unafiki wa Kagame maana unamfahamu vizuri.

Kagame ni mtu mbaya sana na yuko radhi kufanya lolote ilimradi apore mali, leo hii taifa lijifunze hatutaki influence ya watu aina ya Kagame tena kwenye nchi yetu.

Kama nchi hatutaki kabisa Kagame na habari zake tena hapa yeye aendelee kuunda waasi wake huko DRC , aendelee kushirikiana na mabebebru kuiba rasilimali za Congo lakini hatutaki yajirudie kwetu hapa.

Hayati Magufuli alifanya kosa kubwa kumwamini.
PK ni millitary genius! Anatumia techniques za Wayahudi. Kigali ni njia kuu ya kupeleka madini Ulaya na Asia.
 
Magufuli alichofanyiwa na Kagame hapo kwenye Tanzanite amekufa na Siri yake
Unaweza kuelewa kwa nini urafiki ulikufa na alikuwa ndie Rafiki yake mkubwa
Na mazishi ya Mwendazake alipotezea, Jiwe angefufuka sijui PK na Mu7 wataficha wapi nyuso zao. RIP jiwe
 
Back
Top Bottom