mokala1989
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 2,236
- 731
lane nina mashaka kama umesoma post yangu yote na kuelewa vizuri.
Lakini cha ajabu ume-jump moja kwa moja na kudai nimetumwa!! I think unamaanisha nimetumwa na watanzania wanyonge ambao kila kukicha ndugu zao wanafia vitani kisa kulinda 'amani' katika nchi zingine ambazo hawaitaki hiyo 'amani'!!
Sijui nani alikwambia amani inatafutwa, inadumishwa na kulindwa duniani kwa mtutu wa bunduki?
Please go back to school and learn about it carefully.
lane ajakosea, wewe ni mtumwa wa kagame, subiri ukombozi.