Tanzania Tupo Kwenye Toleo Jipya Ban (USA)

Hivi Kweli Makonda ame violate Human rights kuliko Kagame, Museven, Mohamed bin Salmaan na Rais wa Sasa wa Egypt

America inataka kuleta Machafuko nchini

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani Kazuiliwa Makonda peke yake Au Taifa zima?
Kuna Hiyo ramani hapo Juu mjumbe katupia Nchi zilizopigwa Ban 2018 na Nchi mpya Ban! Tanzania ikiwemo,
Sasa Kama Nchi tayari ilikuwa Imepigwa Ban? Ina maana gani kumpiga Makonda Ban wakati tayari ulishaipiga Ban Nchi yake?
Nieleweshe Mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa watu hawajatuingilia miaka 60 sasa
Ila wameona kitu na wanataka kitu
Kuna maslahi makubwa wanataka baada ya machafuko


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom