Tanzania Tupo Kwenye Toleo Jipya Ban (USA)

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,398
Haipendezi Sana Ni Aibu Sana Nahili Sijui Ni.Zito Ndio Sababu?

Tusijitape sana Wakati Kila Kitu Tunategemea wao Tulijigamba Hatutaki Mikopo Yao Lkn Leo Hii

Tunachambana Bungeni Kwa Kuzuiwa Mkopo Wa Elimu Mnatafuta Mchawi Nawaambieni Yupo Lumumba

Nasikitika Sana Sababu Sio Afya Sio Elimu Sio Miondombinu Tunawategemea Wao

Tunawatukana Huku Bado Tunawategemea
Tuna Amani Isio Kuwa Amani

Inapo Fikia Itaasiri Hata Mapato Katika Sector Ya Utalii Nchini Sio Jambo Jema sana

Naieleweke American Muunganiko Wama Taifa kadhaa Hawashindwi Kushawishi Zuio La Watalii Nchini.
Haya Tusubiri Next Week Bomu Lingine Linafumuliwa
IMG_20200201_121033.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fursa Bila Masoko Sikitu Hatuwezi Jiuzia Wenyewe Hatuwezi Kutalii wenyewe

Maana Inapo Fikia Itaasiri Hata Mapato Katika Sector Ya Utalii Nchini Sio Jambo Jema sana

Naieleweke American Muunganiko Wama Taifa kadhaa Hawashindwi Kushawishi Zuio La Watalii Nchini.
kazi ipo, Ila tunapaswa kuangalia fursa zilizopo nchini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa Tunatakiwa Kuliangalia Taifa Letu Na sio Kuji Compare Na Mataifa Mengine Maana hawana Manufaa Nasisi

Ukisema Mbona mbona Isio Na Solutions You do nothing
Hivi Kweli Makonda ame violate Human rights kuliko Kagame, Museven, Mohamed bin Salmaan na Rais wa Sasa wa Egypt

America inataka kuleta Machafuko nchini

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fursa Bila Masoko Sikitu Hatuwezi Jiuzia Wenyewe Hatuwezi Kutalii wenyewe

Maana Inapo Fikia Itahasiri Hata Mapato Katika Sector Ya Utalii Nchini Sio Jambo Jema sana

Naieleweke American Muunganiko Wama Taifa kadhaa Hawashindwi Kushawishi Zuio La Watalii Nchini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tuanalia mamia ya watalii, wamekua zaidi kutoka Ulaya na Israel, tutaweza kupanua wigo nchi hizo
 
Hivi Kweli Makonda ame violate Human rights kuliko Kagame, Museven, Mohamed bin Salmaan na Rais wa Sasa wa Egypt

America inataka kuleta Machafuko nchini

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema Wana ushahidi wa bashite kuvunja haki za binadamu kuishi, ilitakiwa bashite ajiuzuru ili waweke video ya lissu kupigwa risasi tuione ndiyo tutaamini
 
Hivi Kweli Makonda ame violate Human rights kuliko Kagame, Museven, Mohamed bin Salmaan na Rais wa Sasa wa Egypt

America inataka kuleta Machafuko nchini

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukifikiri Sana utagundua mambo mengi Sana ya kushangaza kwenye hii Issue.
Ila muda ndio msema kweli, muda utafika ukweli utajulikana tu.
 
Hivi Kweli Makonda ame violate Human rights kuliko Kagame, Museven, Mohamed bin Salmaan na Rais wa Sasa wa Egypt

America inataka kuleta Machafuko nchini

Sent using Jamii Forums mobile app
Mke wako akiwa anagawa uroda utamuachia tu kwa vile hajamfikia mwajuma kugawa uchi kila siku...

Kweli taifa hili lina raia zero brain.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom