Criss
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 858
- 252
- Thread starter
- #21
Mbona umepanic sana mkuu !?Niondolee ujinga wako hapa, kwani Wakenya walikuwa hawaruhusiwi kuja Tz, unaongea pumba tupu, Tz si shamba la bibi kwamba tatizo la ajira na ardhi la Kenya lihamishiwe pia na Tz. Ni Rais mjinga tu atakaye ruhusu mkenya aje Tz kushindana kulima vitunguu na matikiti na wakulima wa Tz, narudia tena ni mpumbavu anayeweza kutetea ujinga wa namna hiyo...
Vipi huwezi kujadili hoja hadi uwepo wa maneno kama MJI NGA na MPUMBAVU yawepo ?
Vipi dhana shindanishi kwako ni chukizo?
Nilitamani kukuuliza kama unahistoria ya kutembelea nje ya Tanzania ili nikuulize maswali mepesi kama tu siyo Tanzania kuruhusu Wakenya kuja kufanya shughuri mbalimbali za kiuchumi ,Je! Unafahamu kuwa yapo mataifa yanayoruhusu hadi wakimbizi kufanya shughuli za kiuchumi?
Vipi nao wamekosea kwa kiasi gani ?
Ushawahi linganisha uimara wa pesa na Uchumi wao na wa kwetu?
Kunashida gani kwa Wakenya kuja kuwekeza kwetu huku tukiruhusu wawekezaji kibao kutoka mataifa mbali mbali Duniani waje kuwekeza kwetu ?
Ni udumavu wa kiufahamu tuliyonao au niukomavu wa chuki zisizo na tija kwa Wakenya?
Kwani na sisi kama tutaamua kuvilima hivyo vitunguu na kwenda kuviuza wanakokwenda kuviuza wao kutakuwa na tatizo ?
Wake-up joh!
Ficha upumbafu wako .
Ruhusu kuelimika .
Tanzania tunamapori kibao ambayo mengine hayajawahi kutumiwa tangu Uhuru , Vipi kama serikali ikaamua kuweka sera nzuri za kiuchumi na kuamua kunufaika nayo kimkakati?
You guys tusikarili Dunia inaenda kasi sana , kodi siyo lazima ikusanywe kutoka kwenye pombe na sigara tu , hata huko kwenye ardhi isiyotumika ku anaweza kuwa chanzo kikuu cha kodi na wanainji wakapunguziwa mzigo .