Tanzania tunajidumaza kiufahamu kwa kutoiamini Kenya

Wewe unaboa sana, kwa sababu kumbe akili yako ipo chini sana (hapana, elimu naona ni finyu).

Yote uliyoandika hapo juu ndiyo ninayokufundisha humu, sasa unageuka kutaka kuyafanya ndiyo unayopigania wewe?

Unalilia wakenya kwenye bandiko lako lote pale mwanzo, imekuchukua siku nzima na masaa kadhaa kutambua kwamba waTanzania wanazo fursa chungu nzima hapa?

Halafu bado hujui kwamba watu huku vijijini waliko wanachakalika kwelikweli na fursa hizo, wewe unalilia wakenya?

Mwambie Samia aweke jitahada nyingi za serikali yake kuwasaidia na kuwainua hawa wanaojenga taifa hili, kuliko kwenda kuwalilia wakenya.

Umeelewa sasa?

Naona huko kuishi kwako huko nje hakukusaidii sana, rudi hapa, pana fursa kibao. Njo tuijenge hii nchi yetu, achana na kujidharau kama ulkoonyesha kwenye mada hapo mwanzoni.

Nakuomba sana, acha kuidhalilisha na kuidharau Tanzania.

Hao mashemeji zako wanaoililia toka huko nje, ujue wamekwishatambua hili ni taifa la kipekee katika ukanda huu, ndio maana wanalialia wapate huruma ya kuambulia chochote.
Dah! Mkuu wewe kwa ubishi uko na A yako saaafi hahahahaaaa ,okay fine ,usiku mwema rafiki .
 
Dah! Mkuu wewe kwa ubishi uko na A yako saaafi hahahahaaaa ,okay fine ,usiku mwema rafiki .
Siyo ubishi.

Kaa utulizane na utafakari tulikoanzia, utaona kwamba mada yako ilikuwa 'misplaced'. kabisa.

Huwezi kuja na ku'disparage' watu, halafu utegemee wakuchekee tu!

Kama hukujifunza kitu kutokana na 'misadventure' yako hii, basi hutaweza kujifunza kitu chochote maishani mwako.

Tutakutana siku nyingine kama utaendelea kuwemo humu JF, vinginevyo, basi ni kwa heri ya kuonana.
 
mtanzania una kuwaje muoga ktk kipindi hiki ambacho tuna sema ni diplomasia ya uchumi imeshika hatamu...siku izi ni mwendo wa mutually benefit maana kila taifa lina tafuta ugali kwa wananchi wake
 
Back
Top Bottom