Salam!
Mwenye kujua chochote mpaka sasa Tanzania tumepata medali ngapi za
Dhahabu, Fedha na Shaba? hapo jirani zetu kenya jana naona wameongeza
nyingine ya Mwanariadha na kapteni wa Timu ya Olimipki David Rudisha,
Hongereni Kenya
Mkuu niliongelea mada kama hii juzi nanilingela kwa hasira sana.Tz mara ya mwisho kuchukua medal katika olimpic ni mwaka 1980,baada ya hapo ni kwenda kutalii tuu,hii ni kutokana na ubinafsi,wivu na ufisadi,Hawa akina Bay wapo pale kwa manufaa yao binafsi na si kwajili ya kuundaa timu ya kuchukua olimpic,ni kama ilivyo BMT sioni kazi yao zaidi ya kujinufaisha natumaini kwa tanzania kufanya vizuri katika michezo ya kimataifa ni hiyo miaka ya 70 na 80.Yani sisi hatupo popote katika michezo yoyote,si mpira wa miguu,table tennes,riadha,kuogelea,baiskel,magari,Mimi siamini kama tunashindwa/hatuna uwezo bali ni mandalizi duni na kunyimwa posho kwa wanamichezo wetu na vile vile ukiwashauri viongozi wetu hawashauriki.HATUJAPATA MEDALI HATA MOJA NA HAITATOKEA KUPATA LEO WALA KESHO,LABDA WALIPO WAONDOLEWE WOTE.Salam!
Mwenye kujua chochote mpaka sasa Tanzania tumepata medali ngapi za Dhahabu, Fedha na Shaba? hapo jirani zetu kenya jana naona wameongeza nyingine ya Mwanariadha na kapteni wa Timu ya Olimipki David Rudisha, Hongereni Kenya
medali ya wizi labda!
Salam!
Mwenye kujua chochote mpaka sasa Tanzania tumepata medali ngapi za Dhahabu, Fedha na Shaba? hapo jirani zetu kenya jana naona wameongeza nyingine ya Mwanariadha na kapteni wa Timu ya Olimipki David Rudisha, Hongereni Kenya
Medali ya wizi labda!