Tanzania tuna medali ngapi olimpiki mpaka sasa?

zingekuwepo na medali za udongo na za mbao tungepata, au watutengenezee zetu za TANZANITE
 
Jaman sawa tusiponde sana bila kujiuliza maswali je mnajua David Rudisha ambae ndo nahodha wa kenya? Yule jamaa sio mchezo ana miaka 23 but anarecord zaidi ya 10 na ameanza training za riadha toka mtoto na amesoma shule ya michezo kamkunji high school ambapo amesoma mac donald mariga yule wa inter milan, denis oliech yule wa monaco na wengine kibao, yule ndo usain bolt wa mbio ndefu,

so bongo tusiponde tu maandalizi wakati hatuna wati dedicated na vipaji vya kutosha, inabid tujenge shule za michezo kama kamkunji high school then watu wajitume wakifundishwa kuwa michezo inaleta utajiri kuliko ajira za kusomea uone chini ya uangalizi mzuri uone balaa lake

Ungesema tu ni Mmaasai na Tz kuna Maasai kwa hivyo vipanji vikitafutwa vizuri pia nyinyi mnavyo
 
Mkuu huko London2012 hakuna siasa, ni michezo tu. Sasa timu ya Filbert bayi imeongozwa na Waziri wa habari na michezo. nadhani amekuta mawaziri wenzie hawapo akagundua kuwa mashindano yale hayatuhusu sie wanasiasa.

Mpaka jamaica wanatuzidi? Nchi inakera hii, yani hata wangeweka mchezo wa mdako bado tungeshindwa.
 
Nchi hii inaweza kukushangaza kwa mengi. Wenzetu wanawatumia wamasai wa Kenya, Ethiopia kuleta medali, sisi wa kwetu tunawapeleka rufiji wakagombane na wakulima.

Nchi hii ianhitaji mapinduzi ya kila kitu
 
Miminilifikiri yule dada alibeba bendera siku ya ufunguzi ni mfanyakazi wa ubalozini katoa company kuongeza number kumbe ni mshiriki??

Binafsi nimewaona watanzania siku ya ufunguzi tu .................... otherwise nimewaona Wakenya, Waganda, Burundi, Rwanda, Malawi, Zambia, Mozambique, Botswana, RSA off coures, Sudani......!!!

Hivi kweli kulikuwa na haja ya kupeleka tumu kule?? Kama ni kupeperusha bendera hiyo kazi ingefanya na ubalozi!!

Yule dada alikuwa mwogeleaji sio mwana riadha ninavyoelewa, alitoka round ya kwanza (Heats) mwogeleaji mwingine alikuwa mtoto wa miaka 15 naye alitoka round ya kwanza baada ya kuwa wapili kutoka mwisho kwenye heats zake.
1300467.png

Hapa kuna jambo lazima, sidhani kama kuna mtanzania wa kuchukua medali katika kuogelea, lakini nashindwa kuamini kama hawa ndo the best we can do.
 
Nasikia yule mwogeleaji wa tanzania kwenye olympic ilibidi aokolewe na waokoaji asizame kwenye swimming pool!
 
Jaman sawa tusiponde sana bila kujiuliza maswali je mnajua David Rudisha ambae ndo nahodha wa kenya? Yule jamaa sio mchezo ana miaka 23 but anarecord zaidi ya 10 na ameanza training za riadha toka mtoto na amesoma shule ya michezo kamkunji high school ambapo amesoma mac donald mariga yule wa inter milan, denis oliech yule wa monaco na wengine kibao, yule ndo usain bolt wa mbio ndefu,

so bongo tusiponde tu maandalizi wakati hatuna wati dedicated na vipaji vya kutosha, inabid tujenge shule za michezo kama kamkunji high school then watu wajitume wakifundishwa kuwa michezo inaleta utajiri kuliko ajira za kusomea uone chini ya uangalizi mzuri uone balaa lake

haya yote ndio tunayoyasema hakuna watu waliofanya mambo haya yakawa ya muhimu na kuchukulia kwa umuhimu swala la michezo na kushindana.vipaji naamini vipo ila ndio hivyo havitafutwi na hata vikipatikana haviendelezwi. tutawezaje kufanya vizuri katika michezo? viongozi hawapo dedicated kufanya wanamichezo wakapatikana bora na wakupeperusha bendera yetu kwa ushindi.
 
zingekuwepo na medali za udongo na za mbao tungepata, au watutengenezee zetu za TANZANITE
dah mkuu hapo umekosea..kumbuka TANZANITE yenyew mafisad wamebinafsisha sasa cjui itakuaje....hapa ni bila bila..kapa kapa...
 
Tutawapokea na medali za ngono za kufanyia ugenini. Viongozi wote wameenda na wake zao wengine vimada zao. Ni nini sasa kama siyo kuleta medali za ngono? Wapo hapa London wanatalii tu, wana kazi za kualikwa majumbani kwa watu tu kupata futari na mengineyo. Wengine sijui ndo wamekuja kutuonesha mahawala zao, yaani, mpaka inatia kichefuchefu.
 
Mungu jalia Olimpiki ijayo 2016 tuwe na UONGOZI mpya wa Rais Zitto Kabwe na waziri wa Michezo shupavu Mr. II (Sugu) Baba Shyrose labda tutakuwa na timu imara yenye uwezo wa kutwaa medali
 
Jaman sawa tusiponde sana bila kujiuliza maswali je mnajua David Rudisha ambae ndo nahodha wa kenya? Yule jamaa sio mchezo ana miaka 23 but anarecord zaidi ya 10 na ameanza training za riadha toka mtoto na amesoma shule ya michezo kamkunji high school ambapo amesoma mac donald mariga yule wa inter milan, denis oliech yule wa monaco na wengine kibao, yule ndo usain bolt wa mbio ndefu,

so bongo tusiponde tu maandalizi wakati hatuna wati dedicated na vipaji vya kutosha, inabid tujenge shule za michezo kama kamkunji high school then watu wajitume wakifundishwa kuwa michezo inaleta utajiri kuliko ajira za kusomea uone chini ya uangalizi mzuri uone balaa lake
alafu hata baba yake Rudisha alishinda medali ya fedha mwaka 1978 na mama yake aliwahi kushinda mbio kwenye relay at a national level.

Ila mimi naona tusichukue hivyo visingizio. Tatizo letu TZ mindsets zetu zimekaa kushoto muno.
Hebu angalia tangia siku ambazo Zebedayo Bayo aliwahi kunyimwa ushirikiano kipindi fulani lakini akaenda na kushindana successfully lakini hatukujifunza lolote.
Fuatilia katibu wa RT Suleimani Nyambui katika maongezi yake na wanahabari, sijawahi kumuona/kusikia hata siku moja akiongea kwa matumaini, daima ni kukiri kushindwa lakini hataki kujiuzulu na system yote ya michezo inaona. Angalia jinsi baadhi ya wadau walivyolalamika juu ya pesa za Olympic zinazotolewa kwa kila nchi na IOC na ni hatua gani mpaka sasa zimechukuliwa!

Matatizo ni makubwa zaidi ya wengi wanavyodhani maana yako vichwani mwa watu

Mie nadhan kwenye olmpk wangeweka na medal za kukata mauno na ngono,labda tungeshnda
 
Tanzania ONLY TWO

List of medalists

Medal Name Games Sport Event
Silver Filbert Bayi 1980 Moscow Athletics Men's 3000 metre steeplechase
Silver Suleiman Nyambui 1980 Moscow Athletics Men's 5000 metres

Wikipedia
 
Back
Top Bottom