Tanzania tuna medali ngapi olimpiki mpaka sasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania tuna medali ngapi olimpiki mpaka sasa?

Discussion in 'Sports' started by andreakalima, Aug 10, 2012.

 1. a

  andreakalima JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 2,916
  Likes Received: 1,799
  Trophy Points: 280
  Salam!
  Mwenye kujua chochote mpaka sasa Tanzania tumepata medali ngapi za Dhahabu, Fedha na Shaba? hapo jirani zetu kenya jana naona wameongeza nyingine ya Mwanariadha na kapteni wa Timu ya Olimipki David Rudisha, Hongereni Kenya
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Gida Budai alishamaliza yote kabla hata OLIMPIKI haijaanza...
   
 3. Fekifeki

  Fekifeki JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,163
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Hivi Watalii wanapata medali? Watz wamezoea kufanya siasa, kule Olimpiki hakuna siasa mtu wangu! Majibu unayo!
   
 4. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  wenzetu wameenda kutalii!
   
 5. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Unasemaaa! "medali au Madai?"
   
 6. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  Wamepata medali ya ngono salama
   
 7. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  SIMPLE! Mpaka sasa tuna medali 0 za dhahabu, fedha na shaba
   
 8. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  nasikia waTZ waliweka nguvu zaid kwenye kujua lugha ya kingereza zaidi kuliko mazoezi!
   
 9. k

  kitero JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu niliongelea mada kama hii juzi nanilingela kwa hasira sana.Tz mara ya mwisho kuchukua medal katika olimpic ni mwaka 1980,baada ya hapo ni kwenda kutalii tuu,hii ni kutokana na ubinafsi,wivu na ufisadi,Hawa akina Bay wapo pale kwa manufaa yao binafsi na si kwajili ya kuundaa timu ya kuchukua olimpic,ni kama ilivyo BMT sioni kazi yao zaidi ya kujinufaisha natumaini kwa tanzania kufanya vizuri katika michezo ya kimataifa ni hiyo miaka ya 70 na 80.Yani sisi hatupo popote katika michezo yoyote,si mpira wa miguu,table tennes,riadha,kuogelea,baiskel,magari,Mimi siamini kama tunashindwa/hatuna uwezo bali ni mandalizi duni na kunyimwa posho kwa wanamichezo wetu na vile vile ukiwashauri viongozi wetu hawashauriki.HATUJAPATA MEDALI HATA MOJA NA HAITATOKEA KUPATA LEO WALA KESHO,LABDA WALIPO WAONDOLEWE WOTE.
   
 10. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #10
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,858
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Medali ya wizi labda!
   
 11. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #11
  Aug 10, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mkuu hakika hatuwezi kupata medali yeyote hata kama ingekuwa ya wizi, huu unaofanyika huku ni wizi wakukamatwa wakijinga kuna mamafia wanafanya wizi marekani wakija huko mmmh!
   
 12. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #12
  Aug 10, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ili mradi tutaendelea kujikita kwenye taasisi za riadha zilizobweteka dar badala ya wilayani kama zamani tutaendelea kuwa watalii katika ulimwengu wa riadha. inaelekea hata serikali za mikoa hazina mpango kabisa wa kushughulikia janga hili la riadha na hata spoti nyingine ukiacha mpira.
   
 13. tembeleh2

  tembeleh2 JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 768
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ndio tunazo. Kwa sababu "0" tuna medali sifuri.
   
 14. a

  andreakalima JF-Expert Member

  #14
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 2,916
  Likes Received: 1,799
  Trophy Points: 280
  Daah! Hakika mmenifanya nitokwe na machozi kwa uchungu. Nakumbuka GIDA BUDAI alisema akihojiwa na CLOUDS kuwa mchezaji yoyote wa TZ akirudi na Medali yeye atachana vyeti vyote na kutembea uchi mji mzima wa Dar? kwa kauli ile nilishtuka kidogo kumbe alikuwa anamaanisha aisee!!! kaaazi kweli kweli mtu mzima BAI anakula pesa tu yeye OLIMPIKI mke kule NETIBOLI daah kweli mji SHULE hapo unakuta wanakusanya hela za kampeni 2015 maana Mrs. anataka VITI MAALUM wakati BAI mwenyewe anajipanga akagombee KARATU 2015. Kazi ipo! Ngoja tusubiri visingizio toka kwa viongozi na wachezaji!! m by the way walienda viongoz wangapi kusindikiza timu?
   
 15. STALLEY

  STALLEY JF-Expert Member

  #15
  Aug 10, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Mwanariadha wetu wa kike kawa wa 16 kati ya watu 18 . kapewa medali ya bati kudadeki
   
 16. a

  andreakalima JF-Expert Member

  #16
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 2,916
  Likes Received: 1,799
  Trophy Points: 280
  Hapo waziri Dr. Mukangara amejichimbia kuandaa "hotuba" ya kujitetea tayari anasubiria tu timu irejee aisome Bungeni visingizio vifuatavyo havitakosekana 1. HALI YA HEWA 2. CHAKULA 3. KUPOROMOKA KWA UCHUMI DUNIANI 4. MAANDALIZI YA SENSA 5. KIFO CHA MKULU WA GHANA na mengineyo mengi, jamani lini tutaacha visingizio?
   
 17. phina

  phina JF-Expert Member

  #17
  Aug 10, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 414
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ukisikia ng'ombe wa maskini hazai-ndio sisi
   
 18. a

  andreakalima JF-Expert Member

  #18
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 2,916
  Likes Received: 1,799
  Trophy Points: 280
  Hivi viongozi wetu wakipewa hivi vyeo huwa wanafikiria nini? unakuta waziri toka aingie wizarani hana alichofanya zaidi ya kusaini barua/mikataba na kusafiri pia kuzindua mikutano/makongamano/semina na kuzindua majengo/barabara FULL STOP...hivi tutawakumbuka kwa lipi?
   
 19. S

  Starn JF-Expert Member

  #19
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Usiulize medali unachotakiwa kuuliza mpaka sasa tumetarii miji mingapi mpaka sasa?
   
 20. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #20
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  We uliona wapi mkimbiaji akawa mrembo? hebu wacheki wakenya,wako kimazoezi zaidi,si tunapeleka mrembo eti kisa anamvutia bosi fulani! maajabu! kwanza huko vijijini umasaini na umang'atini kuna wakimbiaji wa ukweli kabisa ,wao wanang'ang'ania ma sister du! haya sasa!
   
Loading...