Tanzania tuna mapaparazi wakareeee

Tanzania tuna mapaparazi wakareeee

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,987
Reaction score
168,517
46131_4943830550155_1917571431_n.jpg


Amenifurahisha sana huyu Mwana-habari alivyo Serious na kazi.Hadi kanyanyua visigino juu na Mdomo upo wazi kwa concentration.Hii ni jana kwenye maandamano ya wanafunzi wa IFM.
 
Mwanzo nilidhani jamaa wanacheza ngoma na mpiga picha anamepandwa na mdadi anacheza huku akipiga picha.. Kuangalia vzuri c nikawaona vijana wa afande kimoho nyuma..
 
Kwa kiduku walichochezeshwa hawarudii tena
 
By gaspery lasway kwa kiduku walichochezeshwa hawarudii tena walikuwa wadai haki zao wanalawiti uhuni mkubwa xana wameshaenda kutoa malalamiko kituo hakuna anayefutilia njia rahisi ya kufisha ujumbe ni kuandamana .
 
duh hiyo picha utadhani watu wanacheza kiduku, kumbe ni mwendo wa kichuruchura
 
hahahahah kama wale wenzao walio liwa boga wapo apoo
hahhahahahah lazma hali uko uwani iliharibika:confused2:
 
Mpiga picha atakua gamba huyu kafurahia sana tukio
 
Back
Top Bottom