figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,751
- 63,061
- Thread starter
- #21
Kachanganyikiwa😂😂Naona unarudia rudia kuandika neno Dr Dr Dr, huo u Dr aliusomea chuo kipi?
Kwa akili ipi aliyonayo??.
Form 4 yenyewe alisema kwa mdomo wake kwamba alifeli!.