Ikulumaliyawananch
JF-Expert Member
- Mar 14, 2018
- 339
- 533
Unajua Moi alikaa madarakani muda gani? Unajua Wakenya wangapi wanauliwa hadharani na kamera zinashuhudia? Acha ujuaji kijana, Kenya sio nchi ni genge kati kati ya nchi. BBC leo wametoa uchunguzi wao wa namna watoto wanauzwa Nairobi kwa shilingi laki 7. Tuwe na shukurani.Tanzania tuna wapenda madaraka CCM na sio wapenda maendeleo ni kuangalia matumbo yao tu..
Tunakuwa na shukrani gani kwa nchi ambayo imejaaa kila kitu but watu ni maskini utafikiri wameingia leo duniani? Kwanza ni ujinga na upumbavu kujilinganisha na Kenya ambapo tunawazidisha mara mia kwenye resources. Sisi watanzania viongozi wetu hawana akili, wanafikiri kwa kutumia matumbo.Unajua Moi alikaa madarakani muda gani? Unajua wakenya wangapi wanauliwa hadharani na kamera zinashuhudia? Acha ujuaji kijana, Kenya sio nchi ni genge kati kati ya nchi. BBC leo wametoa uchunguzi wao wa namna watoto wanauzwa Nairobi kwa shilingi laki 7. Tuwe na shukurani.
Sisi tunategemea mawazo ya mtu mmoja tu.Tunakuwa na shukrani gani kwa nchi ambayo imejaaa kila kitu but watu ni maskini utafikiri wameingia leo duniani? Kwanza ni ujinga na upumbavu kujilinganisha na Kenya ambapo tunawazidisha mara mia kwenye resources ,Sisi watanzania viongozi wetu hawana akili, wanafikiri kwa kutumia matumbo.
Sisi tunategemea mawazo ya mtu mmoja tu
Hivi wewe unaijua kenya au unasikia mambo ya mtandaoniWakenya wanajitambua sana, likija suala la kupigania haki zao wako tayari kupoteza hata uhai wao ili wapate wanachotaka, ila kwetu sisi ni tofauti, tunataka tukae nyumbani tuletewe mabadiliko na wengine, hapo ndipo tunapofeli.
Katiba ndio msingi wa maendeleo, wakenya waliipigania Katiba yao ya sasa mpaka wengine kupoteza uhai wao, atleast leo wanafurahia matunda ya demokrasia.
Nadhani hata Uganda siku sio nyingi watatuacha tubaki na ujinga wetu, nawaona wakipigania haki zao kwa vitendo, sio wanaume tu hata wanawake wote wanaingia barabarani kumtaka mtu wao aachiwe na polisi, sisi hatuwezi.
Uongo Wakenya wengi hawana ardhiWakenya wanajitambua sana, likija suala la kupigania haki zao wako tayari kupoteza hata uhai wao ili wapate wanachotaka, ila kwetu sisi ni tofauti, tunataka tukae nyumbani tuletewe mabadiliko na wengine, hapo ndipo tunapofeli.
Anatumia udhaifu wetu kufanya anavyotakaSio tunategemea Mkuu, bali anatushurutisha tutegemee mawazo yake tu.