johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,234
- 144,320
Uchumi wa Tanzania bado ni Imara Gharama za Kuendesha serikali ikiwemo Mishahara inalipika Bila shida tena kwa Wakati. Tatizo dogo liko kwenye miradi na hii iko hivyo duniani kote hadi Marekani.
Kwa mfano Kenya Waziri wao wa Fedha kawaambia zinakuja nyakati ngumu wajiandae Kwani Taasisi nyingi zinashindwa kulipa hata PAYE kutoka mishahara ya wafanyakazi, wanashindwa kulipa makati na michango ya Mifuko ya Jamii na hata ulipaji wa Pensheni unasuasua mno.
Tanzania tumshukuru Mungu wa mbinguni mzunguko wa Fedha haujatikisika
Ni hayo tu
Ahsanteni sana 😄