Inasikitisha sana hapa Tz hakuna maendeleo yoyote tunafanya yenye maana katika karne ya Leo zaidi ya kupigana vijembe kama waimba taarabu, si serikali si vyama vya siasa, si wananchi wenyewe. Tupo kama tumerogwa vile. Hebu angalieni wenzenu Kenya wako vipi tuamke jamani tumeachwa mbali au tuna laana? 9