stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 6,386
- 3,496
Sekta ya madiniEmbu waulizeni hawa AFDB ni sekta ipi hapa Tanzania yenye ukuaji wa kuridhisha kiuchumi kuonesha kuwa uchumi wetu unaongoza????
Sekta ya madini imekuwa au bei ya dhahabu imepanda kwenye soko la dunia sasaivi kwa rekodi ambayo haikuwepo kwa miaka 9????Sekta ya madini
Madini mkuu,GOLD export imeengezeka sana na bei nzuri world market per ounce ni 1700 na ushee na wanasema inaweza kufika 1800.Thats why sisi tutakuwa vizuri.Embu waulizeni hawa AFDB ni sekta ipi hapa Tanzania yenye ukuaji wa kuridhisha kiuchumi kuonesha kuwa uchumi wetu unaongoza????
I beg to differ kusema kuwa kwa bei ya dhahabu tu kupanda ndo Uchumi wetu uongoze wakati sekta zingine zote ziko hoi. Huko kupanda kwa bei ya dhahabu kumeleta impact gani hasa kwenye sekta nyingine??Madini mkuu,GOLD export imeengezeka sana na bei nzuri world market per ounce ni 1700 na ushee na wanasema inaweza kufika 1800.Thats why sisi tutakuwa vizuri.
Ingia BOT website utakuta kila kitu huku kuhusu Economic kuna mothly,Quarterly report otaona mengiI beg to differ kusema kuwa kwa bei ya dhahabu tu kupanda ndo Uchumi wetu uongoze wakati sekta zingine zote ziko hoi. Huko kupanda kwa bei ya dhahabu kumeleta impact gani hasa kwenye sekta nyingine??
Ndo mana nasema hizi hadithi za uchumi kukua zinazotolewa siziamini sana. Watu wengine wanatoa takwimu ili kuwafanya mkope zaidi kwao
Kiuhalisia niambie wewe unaonaje suala la uchumi kwenye kilimo hasa bei za mazao, suala ya ajira pamoja na biashara nchini Tanzania?Ingia BOT website utakuta kila kitu huku kuhusu Economic kuna mothly,Quarterly report otaona mengi
Kuuza na kununua ni jambo la kawaida kwenye biasharaSekta ya madini Tanzania ingekuwa vizuri Petra diamond wasingesema wanauza shares zao za mgodi wa Mwadui.
Zitto atapinga tu na kubezaMadini mkuu,GOLD export imeengezeka sana na bei nzuri world market per ounce ni 1700 na ushee na wanasema inaweza kufika 1800.Thats why sisi tutakuwa vizuri.
NI kweli kwenye bei ya mazao,na suala la ajira na biashara in general kunachangamoto kubwa,shida ni kuelekeza fedha kwenye miradi mikubwa ambayo haimgusi mwananchi wa kawaida moja kwa moja.Kama reli,bandari,bwawa la umeme na mengine.Kiuhalisia niambie wewe unaonaje suala la uchumi kwenye kilimo hasa bei za mazao, suala ya ajira pamoja na biashara nchini Tanzania?
Mkuu hata kwenye huo uwekezaji wa miundombinu mradi strategic pekee ninaouona ni ule wa Rufijji kwa sababu umeme wa ziada utafanya tuweze kufanya makubwa na mazuri na kwa kidogo SGR.NI kweli kwenye bei ya mazao,na suala la ajira na biashara in general kunachangamoto kubwa,shida ni kuelekeza fedha kwenye miradi mikubwa ambayo haimgusi mwananchi wa kawaida moja kwa moja.Kama reli,bandari,bwawa la umeme na mengine.
na ukweli usiopingika kwenye hii awamu ya 5 fedha nyingi imekwenda kwenye miundombinu,uchukuzi na afya hivyo walioko kwenye sekta nyingine wakiangliaa tuu.Huku wakikisahau kilimo kwa kiasi kikubwa.