Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,146
Pamoja na kwamba hiyo uranium watakaofaidika ni mafisadi wachache, wananchi walio wengi katika maeneo ya karibu wajiandae na side effects zake!! Hizi ndizo side effects za Uranium:
daaaah imnisikitisha sana..huko kote mbali pale North Mara uwepo wa mgodi wa Barrick umefanya watu wamekuwa na percentage kubwa sana ya heavy metals traces kwenye damu..lakini serikali yetu sikivu iko bize na kuweka court injunctions za migomo kulko ku deal na mambo ya style hii...