It is deadly poisonous because it is radioactivity, inamionzi hatari ambayo inaathiri mwili wa mwanadamu, mimea, wanyama, maji etc. Mavumbi yatakayotokana na kuchima uranium yatasambaa maeneo ya mbali na kuathiri watu, materials yatakayo sombwa na mafurika yatasambazwa hadi kwenye mashamba, mimea nayo itakuwa na radioactive uptake, samaki nao, ng'ombe nao! The chain continues. Na kwakuwa athari zake ni long term na life span ya mgodi labda ni 10-15-20years wazungu watakuwa wamesepa wakati sis tunapambana athari za kucontain mabaki ya uranium ambayo ni poisonous and radioactive kwa maelfu ya miaka! Gharama za kutunza mabaki ya uranium ni kubwa kuliko faida yamuchimbaji wake? Mfano nchi za Kazastani na Tajisktan nimehangaika hadi leo kupambana na athari za uchimbaji wa madini haya uliofanya na Russia miaka ya 1950, mwka 2010 June, walifanya mkutano wa kimataifa ambao ulisimamiwa na UN kuomba msaada kwamjumuia ya kimataifa wasaidiwe kupata msaada wa kifedha kudhibiti madhara ya mabaki ya uranium! Hivi kweli Tanzania tumejiandaa kwa kiasi gone with the future consequences za Kuchimba uranium?