SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Miaka 50 imepita baada ya uhuru. Hakuna maendeleo yoyote yaliopatikana. Tanzania inaendelea kuwa maskini wa kutupwa hadi kufikia kuwa nchi ya tatu toka mkiani kwa umaskini na ufukara.
Wengine wamedai Rome haikujengwa siku moja. Haiti je? Wamepata uhuru kabla hata ya USA, hali iliyopo ya rushwa, serikali hovyo, kulindana na ujinga wa wananchi ndio umewafikisha hapo walipo. Tanzania leo hii iko nyuma saaaana even by East African standards!! Tusipoangalia itaitwa Kenya muda sio mrefu.
Elimu duni kuanzia chekechea hadi universities.
Vyoo vikuu vyenye elimu duni kila kona!
Hadi leo hata cardiac surgery lazima upelekwe nje ya nchi, mahospitalini watu wanalala chini ya sakafu!
Wizi kila kukicha EPA, Richmond, Radar, Meremeta, IPTL, Kagoda, DECI etc.
Hadi leo umeme ni issue!
ATC, TRC, Tanesco chaliiiiiiiii.
Hadi leo maji ni issue!
Wanajeshi vilaza!
Bunge maskini ndio hilo limejaa wezi kina Rostamu, waganga wa kienyeji (plofesa) na wafungwa na majangili akina Rage...heshima ya bunge iko wapi?
Mawaziri uchwara na big government! Wengine kujiita "Dr" wakati hawana hata PhD wala MD degree. Mfano huyo medical assistant anayejiita Dr Aisha Kigoda LOL!!
Kwa kifupi Tanzania itaendelea kusubiri kwa miaka 400 kama Haiti. Raisi mwenyewe uswahili mwingiiiii kama yuko pale kijiweni Saigoni.