Tz_one
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 2,892
- 7,555
Kwahyo imekatzwa kukopa.. Kama mnatumia pesa za ndani?So aside from Chinese loans mko na kshs500billion za world bank? kwani "tunatumia pesa zetu za ndani" ilikwenda wapi?
Ubaya ya uwongo ni kuwa inakubidi utumie uwongo mwingine mkubwa to cover ile ya awali.
Afu njoo na ile Picha yangu...